Walioingia bungeni kwa ‘Upepo wa Lowassa’ waanza kuaga majimboni. Wamo Waitara, Komu, Kubenea, Mdee na wengine

Iringa ni kwa Wahehe weweeee
 
Kama uchaguzi utasimamiwa na EU wao ndio watakaochagua watu wenye maslahi nao.
Hivihivi tu ukiwaminya wasitunyonye wanajitahidi wakuchomoe kwenye uongozi wakiwa tume ya uchaguzi si ndio wagombea watakuwa wanawaahidi tu maliasili zetu washinde uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa wako hapa TZ wanatubagua je ukienda India si hatari, hata makazi wanaishi mjini kivyao hawachanganyiki na ngozi nyeusi, hata ajira ngozi nyeusi ukijitahidi unapewa umeneja usiokuwa na makali, wahasibu wote ni wao manunuzi wao.
"Watanzania" hawa nyakati za chaguzi hasa za kubadili Marais mara kwa mara huwa wanafunga biashara na kukimbilia UK au Canada. Nchi ikivuka salama wanarejea.

Kama ulivyosema, hawa jamaa wako radhi kuajiri "mwenzao" ambae hata kama hajui kitu na kuwa na mswahili ambae ni mtaalam; yet boss huyo anaweza kukunyanyasa kwelikweli.

Anyway, ngoja tuone wana-Iringa wataamuaje
 
Muulize huyo Halima alipenyaje uchaguzi wa 2015 atakusimulia mr pimbi.

Ndio ameshaaga hivyo anategemea kurudi kwa tiketi ya viti maalumu panapo majaliwa!
2010 alisaidiwa na Lowassa?

TAKATAKA kabisa umeleta hapa,nakushauri futa hizi TAKATAKA
 
Ebu rudia.. naji mbunge wa ubungo? Hivi nyie ccm mtaacha lini ushamba.. sija wahi ona wanachama washamba kama wana ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iringa wakitaka Msigwa ashinde tena ccm wamweke assas kugombea.
Yaan CCM HUWA WANASEMA HAWATAKI WAFANYABIASHARA LAKINI IKIFIKA MUDA WA UCHAGUZI WAGOMBEA WAO 80% WANAKUWA WAFANYABIASHARA,LAKINI WAO WAFANYABIASHARA WANAENDA KULINDA TU MASLAHI YAO.
 
Kuna wabunge wa CCM WENGI walioponea chupuchupu ...Mwakyembe ,Stanslaus Mabula,Dkt Mabula hawa waliingia kwa kubebwa nadhani kwa mwanza wataaga kama dola haitawabeba ..
Hata Makonda unayesema hakubaliki Dar Es Salaam isopokuwa kwa kubebwa tu ..tusubiri uchaguz ,laiti kama wasimamiz watasimamia vizuri 45% ya wabunge ccm itapoteza na 15% chadema itapoteza ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…