Walioishi Morogoro na Mwanza kupi kuzuri?

Walioishi Morogoro na Mwanza kupi kuzuri?

Tofauti ya Mwanza na Moro.Wakazi wa Mwanza asilimia kubwa ni Wasukuma, ukiwakamata kwenye biashara hawana mambo ya kubargain wanalipa bei unayotaka,Mwanza bado kuna watu unamuwekea Whatsup au App yoyote ya bure kwenye simu anakulipa buku ishirini.
 
Tofauti ya Mwanza na Moro.Wakazi wa Mwanza asilimia kubwa ni Wasukuma, ukiwakamata kwenye biashara hawana mambo ya kubargain wanalipa bei unayotaka,Mwanza bado kuna watu unamuwekea Whatsup au App kwenye simu anakulipa buku ishirini.Moro jamii ya waruguru wengi wabishiwabishi kama Mandonga.Shule zipo Tanzania nzima pesa yako tu.
Mwanza ipi hiyo?
 
Tofauti ya Mwanza na Moro.Wakazi wa Mwanza asilimia kubwa ni Wasukuma, ukiwakamata kwenye biashara hawana mambo ya kubargain wanalipa bei unayotaka,Mwanza bado kuna watu unamuwekea Whatsup au App yoyote ya bure kwenye simu anakulipa buku ishirini.
mwanza ipi hiyo??
achana na mambo ya kusimuliwa mkuu,,
ukienda mjini utalizwa wewe we jifanye bisshoo
 
Tofauti ya Mwanza na Moro.Wakazi wa Mwanza asilimia kubwa ni Wasukuma, ukiwakamata kwenye biashara hawana mambo ya kubargain wanalipa bei unayotaka,Mwanza bado kuna watu unamuwekea Whatsup au App yoyote ya bure kwenye simu anakulipa buku ishirini.
Hata huko morogoro wahivyo wapo...nilikuwa mahali nabadili kioo cha simu, kuna wamama wao walihitaji kuistall whatsapp na walitoa hela.

Kiuhalisia Mwanza kuna fursa nyingi, mandhari nzuri na fresh air. Moro nako ni kuzuri kwa kilimo vyakula vingi japo mboga ni shida (utakula nguruka na mnavu) Milima milima ya uluguru inavutia (nyachiro, mgeta, matombo nk) ndizi na magimbi kwa wingi!

Na pia moro siku hizi wahuni ni wengi, tofauti na zamani. Mji unazidi kukua, vibaka ni wengi
 
Mwanza pazuri aisee..japo sijawahi kufika Morogoro
 
Mwanza nimezaliwa ila moro nimekaa pale km miaka saba pale pako poa sana sema mwanza watu ni wengi na mishe ziko kibao sema moro km unakuja kuwekeza na mchongo ukatiki napo ni pazuri tu
 
Mwanza pako fresh.kuna mzunguko mzuri wa biashara wakenya,waganda,warundi,wasudan n,k wanaingia sana Mwanza.

nimeona wafanya biashara wa dhahabu kutoka Singida,Mara na mikoa jirani wanapishana Rock city mall duka la vito wakifanya biashara pale.
vichocheo vya uchumi wa mji na mzunguko wa pesa ni vingi.
 
Back
Top Bottom