Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hapo nakukatalia SI wakabila ila ni washirikinaWachaga kwa ukabila nchi hii ndio namba moja.
Mh mkuuu umefikia hukuuWachagga na wamasai ni washirikina sana
Wako chattle wamepumzikaKuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi.
Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa, naangalia Singida, Tabora (kwetu) na Shinyanga mambo si mambo miaka 60 ya Uhuru.
Natamani watu wa Kaskazini wahamie sikonge kuelekea Katavi wawafundishe ndugu zangu madhara ya ushirikina na wivu kwenye maendeleo.
Kwani ulishasikia wanajisifu?Hayo maendeleo yanayosemwa kuwa yapo kaskazini sijui huwa yapo kwenye nini haswa ambacho kanda nyingine hazipo.kama ni umaskini uko kaskazini upo wa kutisha tu.me nadhani watu wa nyanda za juu kusini ndio walitakiwa walau wajimwambafai kidogo coz walau huko ukiangalia wako vizuri kiuchumi wa mtu mmoja mmoja.
Bora waisrael waje ni Tz kupima vinasabaWachaga taifa Israeli muwasikie tu na ndo hivyo ilivyo
Hivi wewe kwa akili yako saizi unaamini Kabisa maendeleo yanakabila fulani? Acha kukariri mkikutana kuvywa mbege mkidanganyana!Wewe unayewachukia wachagga huenda babayo ni mchaga pia ,hakuna eneo nimeenda Tz nukawakosa wachagga na wamasai
Kwa hiyo mfano Kahama kuna maendeleo vipi wameyaleta wachaga? Paliendelea ndo wakaja kutafuta fursa!Wewe unayewachukia wachagga huenda babayo ni mchaga pia ,hakuna eneo nimeenda Tz nukawakosa wachagga na wamasai