Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi.
Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa, naangalia Singida, Tabora (kwetu) na Shinyanga mambo si mambo miaka 60 ya Uhuru.
Natamani watu wa Kaskazini wahamie sikonge kuelekea Katavi wawafundishe ndugu zangu madhara ya ushirikina na wivu kwenye maendeleo.