Walioitenga Kanda ya Kaskazini wakitamani imomonyoke kimaendeleo wapo wapi?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi.

Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa, naangalia Singida, Tabora (kwetu) na Shinyanga mambo si mambo miaka 60 ya Uhuru.

Natamani watu wa Kaskazini wahamie sikonge kuelekea Katavi wawafundishe ndugu zangu madhara ya ushirikina na wivu kwenye maendeleo.
 
Wako chattle wamepumzika
 
Hayo maendeleo yanayosemwa kuwa yapo kaskazini sijui huwa yapo kwenye nini haswa ambacho kanda nyingine hazipo.kama ni umaskini uko kaskazini upo wa kutisha tu.me nadhani watu wa nyanda za juu kusini ndio walitakiwa walau wajimwambafai kidogo coz walau huko ukiangalia wako vizuri kiuchumi wa mtu mmoja mmoja.
 
Kwani ulishasikia wanajisifu?
 
Wewe unayewachukia wachagga huenda babayo ni mchaga pia ,hakuna eneo nimeenda Tz nukawakosa wachagga na wamasai
 
Hivi wewe kwa akili yako saizi unaamini Kabisa maendeleo yanakabila fulani? Acha kukariri mkikutana kuvywa mbege mkidanganyana!
 
Wewe unayewachukia wachagga huenda babayo ni mchaga pia ,hakuna eneo nimeenda Tz nukawakosa wachagga na wamasai
Kwa hiyo mfano Kahama kuna maendeleo vipi wameyaleta wachaga? Paliendelea ndo wakaja kutafuta fursa!
Ujinga huo achana nao!
 
Back
Top Bottom