Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

sychellis

Senior Member
Joined
Oct 16, 2018
Posts
149
Reaction score
138
Habari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023.

1.SWALI
Namba ya usaili unaipata wapi ukiingia katika akaunti yako ya TRA?
Msaada tafadhali.
karibuni,
 
Kada gani wewe
 
Mimi mtaalamu mbobezi kwenye kutunga maswali ya Interview za kazi

Twende kazi nakupa swali la mfano tu sample simple question katika maswali magumu natunga interview

Mfano TRA wanahitaji watu kumi mlioomba mko 800 na sifa wote zinafanana kama walivyoweka kwenye vigezo

Nikuulize swali kwenye written kwa nini tukuchukue wewe tuwaache 799? Elezea
 
dah hatari mkuu
 
Ngoja nikuulize kwa kuwa kazi yako kukusabya pesa za kodi nikuulize umeingia chumba cha mtihani kama mkusanya pesa za kodi ukaulizwa kama pesa unaijua je noticed ya shilingi elfu 10 ina picha ya mnyama gani?
safi sana mkuu maswali yako ni mazuri na yana uwezekano mkubwa kuyakuta
 
namba ya mtihani zimeshatumwa kweny email angalien kwenye email zenu mlizoombea
 
Back
Top Bottom