Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Nasikia kama majina yako yanachangamoto bila deedpoll hutoboi
 
Basi hapo tayri umefail rudigi home. Kwamba hujui hata masomo uliyosomea?. Kwa kheri....
Mkuu sio kwa kumbeza, ila kama jamaa ameitwa na ni mbali na mkoa anaoishi ukijumlisha na nyomi la waliotwa, inapaswa ajiangalie mara mbili
 
Nasikia kama majina yako yanachangamoto bila deedpoll hutoboi

Lazima majina ya vyeti yaendane na majina ya kwenye kitambulisho chako yakiwa tofauti ni shida,ila kwanini mnapenda kubadilisha majina?
 
Duh nafas 1 inagombewa na watu mia3.
Au wanataka wakapige picha watu tu.

Inafikirisha sana yaan wamefanyaje fanyaje mpaka hizo nafasi 3 zipate watu zaidi ya 1000 wa interview waseme mapema kama wameongeza au tupige chini tu kwa msemo wako lisije likawa chaka lao la posho.
 
Lazima majina ya vyeti yaendane na majina ya kwenye kitambulisho chako yakiwa tofauti ni shida,ila kwanini mnapenda kubadilisha majina?
Sio kubadili majina wengine shule ya msingi tuliandikishwa majina 2 na secondary hadi vyuo ila tulipoenda kujiandikisha NIDA wakataka majina 3 unaona ilo jambo mzee
 
Sio kubadili majina wengine shule ya msingi tuliandikishwa majina 2 na secondary hadi vyuo ila tulipoenda kujiandikisha NIDA wakataka majina 3 unaona ilo jambo mzee

Kwa suala lako cheti cha kuzaliwa ndio kitatoa uthibitisho kua hilo jina la tatu ni la kwako,kama halikuandikwa na kwenye cheti cha kuzaliwa hapo tatizo tayari
 
Back
Top Bottom