Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

Hayo maswali ni ya Oral dear,usijidanganye kwamba utayakuta kwenye written interview.Written interview inakuaga hadi na calculations za kufa mtu kutegemea na proffession yako.Kwaiyo mnaoenda kwenye interview someni mjiandae vizuri
Nilijua wameitwa oral kumbe written, basi wapambane na VAT calculation, payee na wajue SDL sindiyo kodi zenyewe hizo. Nimepitia presentation zao tra kuna sheria mbali mbali zinabadilika mara paa nani wanatakiwa kusajiliwa na VAT, kiwango kikoje cha kusajiliwa vat, je mtu anayefanya biashara akaingiza faida milioni kadhaa kodi yake ipoje, cooperate ni asilimia ngapi na kina nani wanalipa cooperate,
 
Mkuu mfano kwenye kada ya civil technician wanaweza kuuliza maswali yanayohusiana na kodi
Wanaweza ndiyo,kwasababu lazima ujue majukumu ya ofisi yako TRA inafanya majukumu gani ,then waje kwenye nafasi unayoomba watakuuliza juu ya competent in relatin kwa nafasi uliyoomba je una nini wengine hawana,
 
Mkuu mfano kwenye kada ya civil technician wanaweza kuuliza maswali yanayohusiana na kodi
Yah wanaweza , mwaka jana kuna watu walifanya usaili National Audit wa kada tofauti na ukaguzi, waliulizwa concept za auditing swali moja, so cha msingi jikite kwenye fani yako, ila ongezea na maarifa kidogo upande wa kodi angalau uje simple concepts za Tax, kama definitions, canons or principles of good tax system, VAT, criterias for VAT regiatration, types of tax, TRA and its core functions, ways to improve tax revunue collections, EFD, objectives of taxation, causes and effects of tax exemption, tax incentives, categories of tax payers who are to be registered for EFD in second phase, Methods of collecting tax audit informations, double taxation,
 
Kumbe kuna mambo mengi maana niliwahi kaa na mzee mmoja mstaafu wa tra utasikia tax evaders, tax avoidance, sijui transfer price, arms length, mara tax ya Tanzania ni progressive nikasema haya ndiyo manini uzuri alikuwa ananielezea sema sikuwa sana na kichwa cha kushika enzi hizo pengine ningeombaga kazi tra nami.
 
Yah wanaweza , mwaka jana kuna watu walifanya usaili National Audit wa kada tofauti na ukaguzi, waliulizwa concept za auditing swali moja, so cha msingi jikite kwenye fani yako, ila ongezea na maarifa kidogo upande wa kodi angalau uje simple concepts za Tax, kama definitions, canons or principles of good tax system, VAT, criterias for VAT regiatration, types of tax, TRA and its core functions, ways to improve tax revunue collections, EFD, objectives of taxation, causes and effects of tax exemption, tax incentives, categories of tax payers who are to be registered for EFD in second phase, Methods of collecting tax audit informations, double taxation,
Nashukuru Sana mkuu
 
Safi sana wakuu naomba tuendelee kupeana maswali zaidi
 
Mkuu mfano kwenye kada ya civil technician wanaweza kuuliza maswali yanayohusiana na kodi
Technician anatakiwa kujua kiwanda production wanazalisha products kiasi gani kama mtaalamu wa uzalishqji mbobezi TRA wajue kodi wakadirie shilingi ngapi?

TRA hadi ma injinia waweweza ulizwa maswali kuhusu TRA

Ukienda interview ujue fani yako na uhusiano na TRA ili ukipigwa swali unajua chap chap

Sababu waweza bamizwa swali kuwa fani yako ina uhusiano gani na TRA?
 
Nashukuru mkuu
 
Habari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023.

1.SWALI
Namba ya usaili unaipata wapi ukiingia katika akaunti yako ya TRA?
Msaada tafadhali.
karibuni,
Angalia kwenye email yako.... Namba ya usaili utaikuta hapo
 
Back
Top Bottom