Kada gani weweHabari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023.
1.SWALI
Namba ya usaili unaipata wapi ukiingia katika akaunti yako ya TRA?
Msaada tafadhali.
karibuni,
Ukada muhimu.Kada gani wewe
Kila kada si inamaswali yake ya interview.Ukada wa nini tena?
Mimi mtaalamu mbobezi kwenye kutunga maswali ya Interview za kaziHabari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023.
1.SWALI
Namba ya usaili unaipata wapi ukiingia katika akaunti yako ya TRA?
Msaada tafadhali.
karibuni,
Ngoja nikuulize kwa kuwa kazi yako kukusabya pesa za kodi nikuulize umeingia chumba cha mtihani kama mkusanya pesa za kodi ukaulizwa kama pesa unaijua je notil ya shilingi elfu 10 ina picha ya mnyama gani?TAX MANAGEMENET OFFICER II
dah hatari mkuuMimi mtaalamu mbobezi kwenye kutunga maswali ya Interview za kazi
Twende kazi nakupa swali la mfano tu sample simple question katika maswali magumu natunga interview
Mfano TRA wanahitaji watu kumi mlioomba mko 800 na sifa wote zinafanana kama walivyoweka kwenye vigezo
Nikuulize swali kwenye written kwa nini tukuchukue wewe tuwaache 799? Elezea
safi sana mkuu maswali yako ni mazuri na yana uwezekano mkubwa kuyakutaNgoja nikuulize kwa kuwa kazi yako kukusabya pesa za kodi nikuulize umeingia chumba cha mtihani kama mkusanya pesa za kodi ukaulizwa kama pesa unaijua je noticed ya shilingi elfu 10 ina picha ya mnyama gani?
😂😂ahahah ni order mkuu uwa wanafata order