Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025

Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025

Nini motive yao ya kumteka lakini
Tarimo anaujuwa ukweli wote
Yeye mwenyewe kama tarimo

Ova
Kweli bro, sema hata kama yeye aliwakosea pakubwa lakini kitendo chao kina funika kabisa ubaya wa jamaa. Maamuzi ya hasira huwa yanaponza wakati mwingine.
 
Kweli bro, sema hata kama yeye aliwakosea pakubwa lakini kitendo chao kina funika kabisa ubaya wa jamaa. Maamuzi ya hasira huwa yanaponza wakati mwingine.
Ndiyo hivyo,ila watu sahv ile kutekana imekuwa kama njia wanatumia
Watu kudhulumiana nk
Tulishaluona hili la tekateka tukasema watu wataiga nao na kweli wakaiga

Ova
 
Walitaka kumlawiti......walimsababishia maumivu makali...
Hayo maumivu yalitoka wapi? Ilihali walitaka...
Hyo heading haijatulia
 
Kwanini mnasisitiza kulikuwapo polisi?
Muenendo mzima wa kesi unasemaje hadi muwahusishe hao watuhumiwa na upolisi?
Zingatia neno ''nahisi''. Kuhisi siyo kusisitiza. BTW polisi ndiyo wanajitafutia shutba kama hizi kwa sababu ya kutokuwa wakweli na kutotenda haki mara kwa mara.
 
#UPDATES Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia maumivu.

Kesi hiyo, inayowakabili washtakiwa Fredrick Nsato (21), bondia Isaack Mwaifuani (29), Benk Mwakalebela (40), bondia Bato Twelve (32), dereva teksi Nelson Msela (24), na Anitha Temba (27) maarufu kama Jack, imeendelea kusikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Ramadhani Rugemalira.

Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, amesema kuwa Anitha alihusika katika kumshawishi Tarimo kukutana naye hotelini kwa madai ya kujadili biashara, ambapo alinaswa kwenye mtego wa washitakiwa waliokuwa na mpango wa utekaji.

Ilidaiwa kuwa Novemba 11, 2024, Tarimo alipofika hotelini, Anitha alimwelekeza kusubiri katika kaunta ya baa. Baada ya muda mfupi, washtakiwa Mwaifuani, Mwakalebela, na Twelve waliwasili katika gari aina ya Toyota Raum namba T 237 EGE na kujitambulisha kama polisi.

Walipomvuta Tarimo kuelekea kwenye gari, alipiga kelele, hali iliyowafanya kumwachia na kumtishia kuwa wangempata tena. Taarifa zilifikishwa katika Kituo cha Polisi Gogoni na uchunguzi ukaanza, hatimaye kusababisha kukamatwa kwa washitakiwa hao. #EastAfricaTV

Cc Nipashe
 
21 years.

Around same age na aliyekua anazunguka na Sabaya.

Jamii yetu inasapoti matokeo kuliko njia ya kuyapata matokeo.

They will be online kuandika tafuta pesa and shit but they will never answer the how.

Youngsters have found their how. Jana kuna mjasiriamali huko Mtwara anafirana na Mwalimu. This is his how.
 
porojo tu
hapo kuna polisi, sema hatuna waandishi wa uchunguzi wangefunua ukweli wote

raia uwe na pingu, raia uwe na ujasiri wa kumteka mtu mchana kweupe porojo za mahakama hizo
 
21 years.

Around same age na aliyekua anazunguka na Sabaya.

Jamii yetu inasapoti matokeo kuliko njia ya kuyapata matokeo.

They will be online kuandika tafuta pesa and shit but they will never answer the how.

Youngsters have found their how. Jana kuna mjasiriamali huko Mtwara anafirana na Mwalimu. This is his how.
huyo ana 31 yrs! walikosea kuandika umri wake
 
Updates za Jana tar 24 imekuwaje kwa ilivosikilizwa
 
Kumbe kwenye hili tukio jeshi letu la polisi walionewa tu bure. Matukio mengi ya haya utekaji ni dhulma na kugongeana wake, michepuko na madem za watu. Lakini pia jeshi letu siyo eti wasafi kivile nao wanahusika na mengine.

Nyau de adriz
Nao polic wanayataka haya, refer juzi walimkamata yule dereva toyo. Style hiz hizi, kwanini wengine wasiige?
 
Back
Top Bottom