Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Kwa kukadiria mpaka hatua hiyo inaweza kuwa imekula 60/70 mill inaweza kuongezeka au kupungua ila inategemea kwanza material alizotumia na eneo alikofanyia ujenzi.

Tanzania yapo maeneo nyumba kama hiyo mpaka inaisha unatumia 40mill.

Uko sahihi kabisa. Ilizidi kidogo. Hapo naongelea hadi milango, aluminium, taa na huo urembo urembo wa madirishani na nguzo, tiles n.k
 
Mkuu The Monk naomba msaada wapi naweza pata hiyo mikanda ya gypsum kwa ajili ya kuweka papi kwenye flash za milango kama ulivyo weka wewe

Msaada wako tafadhali
View attachment 2087185

Hiyo jamaa walijengea hapo hapo, walitengenezea kama urembo. Ilijumuisha madirisha kwa nje na nguzo mbili.

Sikuweka kabisa mikanda ya gypsum hata ile sehem inayounga dari na ukuta. Waliweka nyavu flani na rangi moja ndoo wanauza 180,000/- ukitizama ni kama kuna zege kwa juu kumbe gypsum.








 
Habarini wakuu, mukihitaji ramani nzuri msisite kututafuta kwa 0715477041, pia mwaweza tembelea link hii kujionea baadhi ya kazi zetu

 
Nilikopa Halmashauri ile mikopo yao afu mkurugenzi zilikua zinaiva akanibless nikanunua iliyokua inauzwa na Saccos
 
Huu ndio ukweli wenyewe. Najua mafundi waliopo humu hawapendi kuiona hii comment😏
 
Mimi nimejenga mkoaniani Mwanza, vyumba vitatu kimoja masta, sebule, public toilets, dinning hall, kitchen and a store. Niko kwenye final stages za finishing. 35+ hivi imeshakata.

Nimeanza kujenga early 2020 na naendelea hadi sasa. Changamoto kubwa ni kua najengwa kadiri ninavypata hela na pia sio mimi ninaesimamia ujenzi kwa sababu niko kazini DSM.

Kwa hatua niliyofikia, nataka tuhamie hivyo hivyo mengine yatamalizikia nikiwa ndani.
 
Hongera sana. 35+ kwa vyumba 3!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…