Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Mimi nimeishia kuezeka, 32M imeshakatika. Nyumba vyumba vitatu, viwili ni self. Pia ina jiko, sebule na dining
Inategemea na standards ulizochagua,ukubwa na nature ya sehemu.

Binafsi nategemea nitumie max.of 30 mln kwa kila kitu hadi kuhamia.

Kwa sasa nimemaliza BOMA kwa mil.6,mwisho wa mwaka natarajia kutumia mil.7 kuezeka, inshallah.👇







IMG_20220307_172731_913.jpg


IMG_20220307_172819_281.jpg


IMG_20220307_172845_699.jpg


West Elevation.png


North Elevation.png


South Elevation.png
 
Naomba kufahamu gharama ya ufundi ya brandering , kugonga gypsum board, skim,pamoja na mikanda yake kwa chumba cha 3.5m x 3.5m na choo chake 2.5m × 1.3m. Asanteni
 
Back
Top Bottom