edward93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 562
- 1,347
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaupiga mwingi Sana.
Mimi nimekwamia hapa nakusanya nguvu tena. Nikirudi site niende hadi hapo ulipofika wewe. View attachment 2222833
Hii ni ka room kamoja, au siyo Dindai. Tuwekee na front elevation, boss wanguUnaupiga mwingi Sana.
Mimi nimekwamia hapa nakusanya nguvu tena. Nikirudi site niende hadi hapo ulipofika wewe. View attachment 2222833
ilikuwa poa kujenga 2021 kuliko 2022
Natumaini MUNGU kashatenda mkuuHaikuwa kazi rahisi, Nilianza January
Ni nyumba ya vyumba 3, dinning, sitting,public toilet na store
Ishaaalah August 2022 nitafunga mahesabuView attachment 2038646
Labour charge ni 15% - 19% ya gharama ya materialhabari za Jioni wadau leo nimepeleka fundi site kwa hii ramani labour charges kadai 1.5m kwa msingi pekeeView attachment 2099828
Hizi scrap yards ziko pande gani kwa DSM??Kujenga ni technique..nilipigwa nyumba ya kwanza lakini sasa nimejifunza, kifupi jiweke kidalali sio kiboss..
1. Msingi nawauzia vibarua, tunakubaliana, alafu fundi anasimamia
2. Tofali namuuzia fundi sh 300 japo za juu wengine wanadai nyongeza kidogo
3. Kokoto, nanunua kifusi cha kokoto alafu nachambua..hapo napata kifusi na kokoto
4. Tofali nanunua 950
5. Nondo naenda scrap yard napima zilizopo alafu zile pande ndefu nanunua..
6. Grill nachukua nondo hapo hapo scrap yard nanunua bomba za pembeni tu
7. Mbao za kuezekea nachukua buguruni, ukitaka kuwaweza madalali..nenda na mwanao tu alafu mfanye yy ndio boss, waite pemben waambie nimemleta boss, watakupa bei halisi
8.Bati mara nyingi hazina shortcut
9. Tiles kama unahitaji box chache..mafundi wanazo tena konk sana
10. Wire, mafundi wanazo nzuri tu sema earth rod kanunue copper inakuwa na bei kidogo kwenye 45k kwenda juu..chini ya hapo kafukue chuma hicho
11.Nenda mwenyewe dukani
NB: Nyumba inahitaji usimamizi wako, sio ndugu au rafiki, utalaumu watu bure
Kuwa mkali sana kwenye mali zako, simamia kila eneo..
Kuna sehemu ni Tshs 23,000/=Mtaani kwangu cement sasa imefikia 15,500 ukilinganisha na 14,500 niliokua nannunulia awali. Interval ya mwezi 1 tuu.
Nilianza ujenzi mwezi wa nane cement ikiwa Tshs 21000 nikanunua mifuko 25.Kuna sehemu ni Tshs 23,000/=
Vifaa vya ujenzi vinapanda kila mwezi sijui mwakani itakuwaje n no body caresKuna sehemu ni Tshs 23,000/=
Mpaka kupiga lenta na kuweka kozi za juu isizidi 1.5MWadau mliopita
Hivi gharama za fundi ujenzi nyumba ya rooms 3
Foundation tayari ipo,yeye anaanzia kupandisha.
Cost bei Gani?