1.Uzi unatia moyo Sana...kujenga Ni process sio event..Anza kwa malengo na mwisho unakamilisha..
2.wengi wetu tunajenga nyumba na sio makazi...nyumba kwa Mana kwamba kiwanja kinatosha eneo la nyumba TU..matokeo yake mtu anakosa hata sehem ya kufunga kamba ya kuanikia nguo,parking au eneo la kupumzikia.
3.pata eneo la kutosha..jenga nyumba,design bustan nzuri,weka parking hata Kama huna gari.
4.watanzania wengi wanajenga nyumba nzuri Sana..kwa mwonekano wa nje na ndan nyumba iko super..lakin wengi hatujui namna ya kupangilia vitu ndani...vitu viko hovyo hovyo na hivyo kuharibu uzuri wote wa nyumba,harufu ya toilet inafika had seblen..
5.hakikisha unatenga eneo la kufugia mbali kidogo na mahali unapoishi..unaenda kea mtu unakuta ngo'mbe,mbuz,kuku na hata nguruwe wanalala pemben au mbele ya nyumba..harufu ya mifuko kila mahali..rekebishen mambo hayo jameni..
6. chague rangi nzuri zifaazo kupaia ndan na nje ya nyumba..Kuna nyumba Zina rangi utadhan vilabu vya pombe au saloon....omba ushaur kwa watalaam
7.weka uzio wenye kuvutuia..Sasa siku hizi watanzania wengi badala ya kuweka uzio wao wanaweka kizuizi...ukuta wa fence mrefu utadhan ukuta wa gezeza la butimba...jaman weka fence na gate lake vyenye kuvutia na kuacha nyumba ionekane...
8.ukjenga nyumba ya hadhi ..Basi jitahid kurekebisha na bara bara inyoingia kwako....
9.sio kila mgeni akija kwako Ni lazima alale kwenye nyumba kubwa..jenga pemben kijumba kidogo hata Cha room mbili na sebul self contained na wageni walale huko na sio kuchangamana ndani kwako...
10.nawatia moyo Tena jengen kwa malengo..na ili uyafaidi maisha haya hakikisha unajenga na kuhamia kwako watoto wako wakiwa bado shule ya msingi(namaanisha wakiwa bado hawajafikisha 15yrs) ....wakat huu mahitaj yao huwa sio makubwa Sana...