Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Wakuu nashukuruni kwa kunitia moyo naombeni ushauri nina around 15 m nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu ila kwa awamu nikiwa naishi humohumo Yani nataka kupandisha msingi wote then nipandishe chumba kimoja master choo na jiko then nifanye finishing nihamie nimechoka kupanga kwingine niwe napandisha mdogomdogo tu mnaonaje wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nyumba imeisha kabisa mkuu. Hadi umeme unao.
Million ngapi mpaka hapo
Hii mkuu mara ya mwisho kupiga hesabu yake nyumba peke yake ilikuwa kwenye 46mill ila nilijenga msingi wa fence na nilisawazisha kwa nje palikuwa na kilima napo ikakata kama 6.8mill so hii project imekula kama 52+ bado sijaweka hesabu ya choo cha nje/septic tank na chamber zake.

Ni kukaza tu na kuomba Mungu haya mambo yanawezekana.
 
Wakuu nashukuruni kwa kunitia moyo naombeni ushauri nina around 15 m nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu ila kwa awamu nikiwa naishi humohumo Yani nataka kupandisha msingi wote then nipandishe chumba kimoja master choo na jiko then nifanye finishing nihamie nimechoka kupanga kwingine niwe napandisha mdogomdogo tu mnaonaje wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea huu ujenzi unaufanyia mkoa/mji gani mkuu?

Tanzania tuna baadhi ya mikoa kwa hela hiyo hiyo unajenga nyumba mpaka unahamia na mikoa mingine haitoshi,ila kwa 15mill unaweza ukaanza vizuri.
 
Upo ktk na nafasi nzuri bado mkuu,mwanzo wa nyumba ni kiwanja so kama umeshanunua uwanja jikusanye uanze kidogo kidogo.
Kweli maana nchi tumeshika kwann nishindwe kujenga.wanawake tunaweza
Upo ktk na nafasi nzuri bado mkuu,mwanzo wa nyumba ni kiwanja so kama umeshanunua uwanja jikusanye uanze kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom