The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Kama hutojali naomba ni-PM # yakeNdio inawezekana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hutojali naomba ni-PM # yakeNdio inawezekana!
Kama hutojali naomba ni-PM # yake
Daaah 30+ml sio mchezoUsitishike mzee kuna waliofika hatua hyo kwa hela chin ya hyo na wengne juu ya hyo! Gharama za ujenz zna factor nyingi sana
Ni kwelii mkuu, mengine yatakukuta humohumoWale ambao wanaanza na wanaotegemea kuanza wasife moyo,ujenzi hauishi siku moja mimi nipo hatua hii japo naishi site ila Mungu akijalia uzima na mafanikio vikiwepo mwaka huu patang'aa.View attachment 2149909
Hii ni labour charge ya plasta ya nje ndani?Ilikua lump sum! Plasta na urembo 1.7m
Yah mkuu namba niliiona,nitawasiliana na mdau nimsikilizeNshakupm
Hii ni labour charge ya plasta ya nje ndani?
Daaaah bonge la project hii safiWale ambao wanaanza na wanaotegemea kuanza wasife moyo,ujenzi hauishi siku moja mimi nipo hatua hii japo naishi site ila Mungu akijalia uzima na mafanikio vikiwepo mwaka huu patang'aa.View attachment 2149909
Ndiyo mkuu tunapambana hivyo hivyo kibishi!Daaaah bonge la project hii safi
Wale ambao wanaanza na wanaotegemea kuanza wasife moyo,ujenzi hauishi siku moja mimi nipo hatua hii japo naishi site ila Mungu akijalia uzima na mafanikio vikiwepo mwaka huu patang'aa.View attachment 2149909
Hongera sanaWale ambao wanaanza na wanaotegemea kuanza wasife moyo,ujenzi hauishi siku moja mimi nipo hatua hii japo naishi site ila Mungu akijalia uzima na mafanikio vikiwepo mwaka huu patang'aa.View attachment 2149909
Hii mkuu mara ya mwisho kupiga hesabu yake nyumba peke yake ilikuwa kwenye 46mill ila nilijenga msingi wa fence na nilisawazisha kwa nje palikuwa na kilima napo ikakata kama 6.8mill so hii project imekula kama 52+ bado sijaweka hesabu ya choo cha nje/septic tank na chamber zake.Hii nyumba imeisha kabisa mkuu. Hadi umeme unao.
Million ngapi mpaka hapo
Shukrani mkuu,sote tunaweza hakuna kurudi nyuma.Hongera sana
Sijui,nimejikatia tamaa mkuu japo ninauwanjaShukrani mkuu,sote tunaweza hakuna kurudi nyuma.
Upo ktk na nafasi nzuri bado mkuu,mwanzo wa nyumba ni kiwanja so kama umeshanunua uwanja jikusanye uanze kidogo kidogo.Sijui,nimejikatia tamaa mkuu japo ninauwanja
Inategemea huu ujenzi unaufanyia mkoa/mji gani mkuu?Wakuu nashukuruni kwa kunitia moyo naombeni ushauri nina around 15 m nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu ila kwa awamu nikiwa naishi humohumo Yani nataka kupandisha msingi wote then nipandishe chumba kimoja master choo na jiko then nifanye finishing nihamie nimechoka kupanga kwingine niwe napandisha mdogomdogo tu mnaonaje wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli maana nchi tumeshika kwann nishindwe kujenga.wanawake tunawezaUpo ktk na nafasi nzuri bado mkuu,mwanzo wa nyumba ni kiwanja so kama umeshanunua uwanja jikusanye uanze kidogo kidogo.
Upo ktk na nafasi nzuri bado mkuu,mwanzo wa nyumba ni kiwanja so kama umeshanunua uwanja jikusanye uanze kidogo kidogo.
Kwa msingi tu ulitumia bei gani mkuu. Nataka nijipime1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Kwa msingi tu ulitumia bei gani mkuu. Nataka nijipime