Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Mie nipo nahangaika na Building Permit.
Najenga Kighorofa Simple..
Mungu akinijaalia uhai najipa 4yrs starting with 2022.
Ulifanikiwa? Na process ilikuwaje? Vipi gharama ya kibali natarajia kuanza kighorofa mwezi wa 7
 
Naomba kufahamu gharama ya ufundi ya brandering , kugonga gypsum board, skim,pamoja na mikanda yake kwa chumba cha 3.5m x 3.5m na choo chake 2.5m × 1.3m. Asanteni
Mafundi mnaitwa humu, hata mimi nimechoka kupanga, nipo kwenye hatua za finishing ila mfuko hauruhusu kumalizia yote kwa mpigo. Naanza na chumba kimoja moja. Naanza ndani kwanza. Nikimaliza natoka nje. Ushauri tafadhali!
 
Finishing ni mbwembwe, hamia utafanya mwembwe ukiwa kwako.
 
Back
Top Bottom