Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

Ili kupunguza gharama njoo tukuuzie mbao kwa gharama nafuu ..Tupo tegeta kwa ndevu na Tuna mbao za aina zote mfano 2*4 treated nitakuuzia kwa 5000 ft12 namba za mawasiliano ni 0687371138
Wauzaji Wengi wa mbao wanapaka rangi ya ukili au rangi ya chakula ( Food color) Mbao zao na kudanganya watu Na kudanganya watu kuwa ziko treated.
 
Wauzaji Wengi wa mbao wanapaka rangi ya ukili au rangi ya chakula ( Food color) Mbao zao na kudanganya watu Na kudanganya watu kuwa ziko treated.
dooh, utanifanya nirudie zangu kwa oil chafu aisee
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Wapi huko kwenye laki 9
 
Imani yako ujenzi siyo gharama sawa
Cement,mbao,bati,kokoto,mchanga,maji,kiwanja.pesa za mafundi,madirisha na milango,wiring ya umeme
Kama uko na nyumba ya vyunba vitatu
Umechomoka sana 25M
Lazima ikutoke
 
Kwanini uhisi au utishwe ingia uicheze ngoma uje umotivate watu wajenge yani Taifa kama Marekan watu wana kazi hawana nyumba unakuja na mada kama hii kweli? Acha upotoshaji
 
Sio rahisi hivyo bro
 
Watu wengi walio wengi mawazo yao ni mgando au hupenda kuishi kwenye maisha ya kufake, utamu wa mgoma ingia ucheze ndo utaelewa. Watu walio weng hususan hapa bongo anataka anunue kiwanja leo umalize leo, nyumba utaisikia na ndo mana wengi waliojenga wenye maisha ya chini alafu ukimuona uwezi amini. Nyumba ni nyumba haijalishi ikoje, kama maisha yako magumu anza na chumba hata kimoja nayo ni nyumba. Ss wewe hali yako ngumu unajenga vyumba 3 chini utaenda nayo juu je utafanyaje maana juu lazma uwe na ela ya pamoja. Alafu kwenye ujenz usimskilize mtu kwa mwaka ukikusanya tofali elfu 1 zinatosha pus nwaka mwingine kunyanyua, miaka mitano unajikuta unanyumba ingawa finishing haijaisha unaenda nayo mdogo mdogo ndo maana wanasema hujenz hua hauishi ndugu. Usitishwe ingawa kweli ujenzi gharama lakin utashinda ila ukitaka kupambana kwa ubabe kwa kumuangalia fulan utaishia kua mpangaji maana unataka kutumia nguvu kubwa wakati uwezo huna, ila ukitumia maarifa lazma hutaibuka mshindi tu. Kuna mtu analipwa laki 5 na kuendelea hata kiwanja hana anaishia kutafuta nyumba nzuri ya kuishi, wakati mwenye mshahara wa lak 1 kajitahidi kiwanja na hata kachumba au nyumba na maisha yanaendelea hapo huoni kama kama kuna alieieshimu ela kwa kutumia maharifa na kuna mpumbavu kafake maisha wakati uwezo anao ila kashindwa kutumia maharifa.
 

Huu ni mfano wa makadirio ya Gharama za msingi kwa nyumba ya vyumba vitatu. Hapo gharama za fundi hazijawekwa, Pia eneo likiwa na slope kidogo matofali yataongezeka na kifusi/mchanga
 
Ukiwa na kiwanja, gharama ya nyumba ya vyumba vitatu, kwa basic finishing ni around 20M. With the same house some one will mention kuwa ametumia milioni mia! Utadhani kajengea mchanga wa makinikia.
Basic finishing inamaanisha nini, vyoo vya kichina vya laki moja laki mbili? Na mavitasa ya buku mbili yanalia chwiiiii chwi, chuwiiiii chwi, na masakafu ya tiles za kuteleza?

By the way wakati mimi nina grow up in the 90's and 80's hakukuwa na floor tiles cheap zile zinazoteleza, siku hizi unaingia mpaka benki unakuta ma tiles yanateleza, niliwahi kuanguka chali CRDB Masaki branch pale Coco, sitasahau maisha.
 
Kiukweli kwangu naona terazo floor ni bora zaidi kuliko hayo ma tiles ushenzi yanayoteleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…