Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
mkuu hiyo wajenga nyumba ya nyasi full suti na unahamia na chenji yabakii ,Nina milioni moja naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi ikiwa na sebule choo jiko na dining?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiyo wajenga nyumba ya nyasi full suti na unahamia na chenji yabakii ,Nina milioni moja naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi ikiwa na sebule choo jiko na dining?
Anza kwanza na choo mkuu then utafute hela ya kujenga sebule na hvyo vingine.Nina milioni moja naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi ikiwa na sebule choo jiko na dining?
Wauzaji Wengi wa mbao wanapaka rangi ya ukili au rangi ya chakula ( Food color) Mbao zao na kudanganya watu Na kudanganya watu kuwa ziko treated.Ili kupunguza gharama njoo tukuuzie mbao kwa gharama nafuu ..Tupo tegeta kwa ndevu na Tuna mbao za aina zote mfano 2*4 treated nitakuuzia kwa 5000 ft12 namba za mawasiliano ni 0687371138
dooh, utanifanya nirudie zangu kwa oil chafu aiseeWauzaji Wengi wa mbao wanapaka rangi ya ukili au rangi ya chakula ( Food color) Mbao zao na kudanganya watu Na kudanganya watu kuwa ziko treated.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera mkuu.mi nimejenga vyumba 3 kwa m6 na msouz kabisa na mageti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka gharama za ujenzi ni sawa na unapoenda kununua nguo dukani, nguo ni bidhaa ambayo bei yake haijasimama kama bidhaa ya sukari au mchele.
Ndio gharama za ujenzi zilivyo mfano
Utofauti wa upatikanaji wa matirio hutofautiana bei eneo na eneo wengine matirio ya ujenzi wanapata kwa dili wengine kwa bei kubwa nk
Gharama za ujenzi kuna mafundi wana bei kubwa wengine bei ndogo
Ndio maana humu tunaona nyumba unambiwa inauzwa milioni 50 wakati ukiangalia ina thamani ya milioni 20 tu
Kwaiyo mtu anapolalamika ujenzi garama usimshangae pengine kweli ujui amejengaje pia wewe unayeona ujenzi si garama pengine kweli hatujui umejengaje
Mfano bei ya kiwanja maeneo mengine tz sawa na shagarama ya nyumba ya kisasa iliyokamilika hapa hapa tanzania
Mfano juzi juzi hapa nimeshuhudia mtu anauziwa kiwanja milioni nne tena anafurahi anaona bei rahisi kweli eneo ambalo wenyeji wanauziana kwa milioni mpaka laki tisa Kiwanja unaona hii kitu
Sababu aliyenunua kiwanja kwa milioni nne ni mgeni katoka eneo ambalo aridhi ina thamani watu wanauziana mpaka milioni 30 eneo la miguu 25 kwa ishirini
PembaWapi huko kwenye laki 9
[emoji13][emoji13][emoji13]Anza kwanza na choo mkuu then utafute hela ya kujenga sebule na hvyo vingine.
Kwanini uhisi au utishwe ingia uicheze ngoma uje umotivate watu wajenge yani Taifa kama Marekan watu wana kazi hawana nyumba unakuja na mada kama hii kweli? Acha upotoshajiNimejaribu kufuatilia kauli za waliojenga nyumba. Huwa wanapenda kuwaogopesha waliopanga kuwa ujenzi ni gharama.
Huwezi kutana na mtu akakutia moyo hata kidogo. Lengo la wengi waliojenga ni ku play god. Yani wanapenda waheshimike na kujionesha kuwa wana mawe marefu.
Mimi ninapopiga gharama za ujenzi, napata gharama za chini kama ambavyo Magufuli alifanya kwenye ujenzi wa hostel za UD. Tukienda kwa stail yake, mbona kila mtu atakuwa na ka mjengo!
Nyumba ya chumba moja na choo tu 6mGharama ya chini shilingi ngapi?
Sio rahisi hivyo broNimejaribu kufuatilia kauli za waliojenga nyumba. Huwa wanapenda kuwaogopesha waliopanga kuwa ujenzi ni gharama.
Huwezi kutana na mtu akakutia moyo hata kidogo. Lengo la wengi waliojenga ni ku play god. Yani wanapenda waheshimike na kujionesha kuwa wana mawe marefu.
Mimi ninapopiga gharama za ujenzi, napata gharama za chini kama ambavyo Magufuli alifanya kwenye ujenzi wa hostel za UD. Tukienda kwa stail yake, mbona kila mtu atakuwa na ka mjengo!
Mkuu matofali 2500 ni msingo tu? Kupandisha je?View attachment 1789129
Huu ni mfano wa makadirio ya Gharama za msingi kwa nyumba ya vyumba vitatu. Hapo gharama za fundi hazijawekwa, Pia eneo likiwa na slope kidogo matofali yataongezeka na kifusi/mchanga
Bila ramani, ni sawa na porojo.View attachment 1789129
Huu ni mfano wa makadirio ya Gharama za msingi kwa nyumba ya vyumba vitatu. Hapo gharama za fundi hazijawekwa, Pia eneo likiwa na slope kidogo matofali yataongezeka na kifusi/mchanga
Akikujibu nishtueMkuu matofali 2500 ni msingo tu? Kupandisha je?
Basic finishing inamaanisha nini, vyoo vya kichina vya laki moja laki mbili? Na mavitasa ya buku mbili yanalia chwiiiii chwi, chuwiiiii chwi, na masakafu ya tiles za kuteleza?Ukiwa na kiwanja, gharama ya nyumba ya vyumba vitatu, kwa basic finishing ni around 20M. With the same house some one will mention kuwa ametumia milioni mia! Utadhani kajengea mchanga wa makinikia.
Kiukweli kwangu naona terazo floor ni bora zaidi kuliko hayo ma tiles ushenzi yanayotelezaBasic finishing inamaanisha nini, vyoo vya kichina vya laki moja laki mbili? Na mavitasa ya buku mbili yanalia chwiiiii chwi, chuwiiiii chwi, na masakafu ya tiles za kuteleza?
By the way wakati mimi nina grow up in the 90's and 80's hakukuwa na floor tiles cheap zile zinazoteleza, siku hizi unaingia mpaka benki unakuta ma tiles yanateleza, niliwahi kuanguka chali CRDB Masaki branch pale Coco, sitasahau maisha.