BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,249
- 11,924
Za leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana.
Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani.
Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu.
Bado hapo hujazungumzia matokeo au mafanikio ya kazi zenyewe.
Boss anategemea faida kubwa kwako.
Wapo watu wa mtaani hawana kipato chochote kwa mwezi ila nikiwaangalia wana amani sana kuliko watu wanaolipwa mishahara.
Simaanishi kua kuajiriwa ni kubaya,ila kuna zile presha na stress za kazi,mafanikio kutimia au kutotimia
Je we unaonaje,kuajiriwa ni kuzuri au ni kukosa mitaji kama wahindi??