Mrisho Gambi angekuwa amejiajiri wala haya yanayomkuta yasingekuwepoZa leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana.
Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani.
Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu.
Bado hapo hujazungumzia matokeo au mafanikio ya kazi zenyewe.
Boss anategemea faida kubwa kwako.
Wapo watu wa mtaani hawana kipato chochote kwa mwezi ila nikiwaangalia wana amani sana kuliko watu wanaolipwa mishahara.
Simaanishi kua kuajiriwa ni kubaya,ila kuna zile presha na stress za kazi,mafanikio kutimia au kutotimia
Je we unaonaje,kuajiriwa ni kuzuri au ni kukosa mitaji kama wahindi??
Jamaa anasahau wengi wa waliojiajiri hawana weekend, hawana sikukuu, kurudi nyumbani ni usiku. Ukiajiriwa unaweza kutegea na hasara sio yako, ila ukijiajiri hamna kutegea wala kufake ugonjwa. Kujiajiri kunakupa room for growth, kuajiriwa kunakupa steady income. Kujiajiri ingekuwa rahisi watu wasingekuwa wanatafuta ajira.Story ya kujiajiri ina masumbuko sana kama kuajiriwa tu…kuna kitu naweza nikakiita asili, kuna mzee mmoja mfanya biashara mkubwa alinambia biashara ina asili yake kama sio asili yenu anza na ajira kwanza na kuna watu wanafaidika na ajira yote ni asili ama mfumo.
Binafsi nimejiajiri mara kadhaa lakini nimekula loss karibia mara zote na kupoteza kila kitu…stress za kuona biashara yako inafeli hakuna tofauti na kupewa barua ya onyo la mwisho kazini kwako, biashara haikupi kipato cha uhakika every month ama year kutokana na mapambano unayopitia kama ajira inavyokupa unajua unaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Kwa kifupi stress n zilezile tu ni Mungu mbele. Umezungumzia utamu wa usingiz ila ukiwa na rejeaho la mkopo unaweza usilale kabsa achana na zile biashara unaona mtu kawasha AC katulia zake anafungua duka saa 3 ukaona ni maisha ana enjoy jua nae anayake ya moto kichwani pia.
Binafsi natafuta ajira sahivi upande wa biashar upumzike kwanza😔 Tupambane mkuu.
Wako Mtiifu
Abtii Local Man 👨
Furaha husababishwa na mambo mengi na sio kazi tuZa leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana.
Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani.
Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu.
Bado hapo hujazungumzia matokeo au mafanikio ya kazi zenyewe.
Boss anategemea faida kubwa kwako.
Wapo watu wa mtaani hawana kipato chochote kwa mwezi ila nikiwaangalia wana amani sana kuliko watu wanaolipwa mishahara.
Simaanishi kua kuajiriwa ni kubaya,ila kuna zile presha na stress za kazi,mafanikio kutimia au kutotimia
Je we unaonaje,kuajiriwa ni kuzuri au ni kukosa mitaji kama wahindi??
Stress za Mrisho Gambo ambaye anakunja milioni 10+ kwa mwezi zitafanana na mtu aliyejiajiri anayepata chini ya 1M ?Mrisho Gambi angekuwa amejiajiri wala haya yanayomkuta yasingekuwepo
Sahihi kabisa,Naona pande zote zinacgangamoto zake.
Ila tuseme ukweli kujiajiri kama umeimarisha biashara yako basi unaweza kukua sana sana.
Ndio maana aliyeajiriwa akipata mshahara wa laki 3 na aliyejiajiri akipata faida laki 3 atagrow aliyejiajiri.
Kifupi ukiweza kujiajiri ni bora zaidi, zingatia neno ukiweza. Biashara ikikua ndio unaenjoy km mtoa mada alivyo sema. Ila km unajitafuta ni ngumu kuliko aliyeajiriwa
Una.miaka mingapi?Za leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana.