El Maestro
Senior Member
- Apr 12, 2020
- 178
- 126
Hamshauriki nyie.... mpaka aseme Mbowe au Lissu, na hawezi waambie ukweli mana ndo mtaji wakeKwa taarifa yako hiyo 29m+ ni idadi ya kupika, na wapiga kura hawajavuka 10m. Hiyo 15m imetokana na kura za Magufuli za kuchakachua. Kama unadhani wanaona aibu hilo sio kweli maana wangeona aibu uchaguzi wa SM. Magufuli ndio anayeagiza box la kura kunajisiwa ili kuhadaa umma kuwa anapendwa. Watu wengi wanaojitambua hawakuwa na muda wa kwenda kupiga kura, maana haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.