Uchaguzi 2020 Waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 29, waliopiga kura ni milioni 15 tu. Wananchi tumewapa CCM ushindi wa mezani

Uchaguzi 2020 Waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 29, waliopiga kura ni milioni 15 tu. Wananchi tumewapa CCM ushindi wa mezani

Huyo uliyemquote kila siku ndio huwa mnasema anakaa Ulaya na hajui mambo ya huku. Leo hii ndio unamtumia kama sehemu ya kufichia ule wizi tuliouna kwa macho yetu. Ni hivi, ule haukuwa uchanguzi, bali upuuzi kama upuuzi mwingine wowote.
Ni kwamba inawezekana hajui mambo ya huku,lakini hili la uchaguzi lina ukweli ndani yake. Kipigo mlichopata kilitarajiwa na wewe nilikuwa nakuambia miezi sita kabla ya uchaguzi.
 
Sawaaaa Ila mbona mmeiba kura za familia hii? [emoji2960][emoji2960][emoji2960].
Tulikuambia mapema ukashupaaza, shingo wanaCcm mil 12+ ndio wamemchagua JPM. Na hili la wafuasi wa upinzani kutojitokeza ni ukweli hayo mengine unaleta uongo tu.View attachment 1619479
Screenshot_20201104-061724.jpg
 
AHaa.ndo kura 8 zote ziharibike[emoji2960][emoji2960][emoji2960]..
Hadi house girl wake naye alimnyima kura?.
Unaona jamaa wapo mnadani hapo?
Una uhakika gani kama zimeibiwa. Kura ni siri ya mtu, inaweza ikaharibika hata ndugu yako anaweza kukunyima kura.
Screenshot_20201101-095851.jpg
 
Kupiga kura ni kupoteza muda. Wapite bila kupingwa.
 
𝑯𝒊𝒊 𝒕𝒖
Habari wanajamvi,

Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na waliopiga kura ni milioni 15 tu hii ina maana gani?..
𝑯𝒊𝒊 nchi 𝒏𝒅𝒐 𝒊𝒍𝒊𝒗𝒐
 
Ni kweli raia wengi hawakwenda kupinga kura kutokana na kukatishwa tamaa na kukosa matokeo wanayoyatarajia.Wananchi walio wengi hutaka mabadiliko ya kisiasa na hupigia kura upinzani,upinzani kutokushinda imewakatisha tamaa hawajitokezi kwenye zoezi la kupiga kura.By the way wanaona bora wakaendelee na shughuli zao za kujipatia mkate wa siku kuliko kwenda kuchagua wanasiasa wenye maisha bora
 
Kuna vitu vya kupika lakini sio data. Wafuasi wa upinzani wamemuangusha lissu. Mabadiliko wanataka halafu kupiga kura hawataki.
Kwa taarifa yako hiyo 29m+ ni idadi ya kupika, na wapiga kura hawajavuka 10m. Hiyo 15m imetokana na kura za Magufuli za kuchakachua. Kama unadhani wanaona aibu hilo sio kweli maana wangeona aibu uchaguzi wa SM. Magufuli ndio anayeagiza box la kura kunajisiwa ili kuhadaa umma kuwa anapendwa. Watu wengi wanaojitambua hawakuwa na muda wa kwenda kupiga kura, maana haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kuna vitu vya kupika lakini sio data. Wafuasi wa upinzani wamemuangusha lissu. Mabadiliko wanataka halafu kupiga kura hawataki.

Sina shaka ya nilichosema, hiyo idadi ya wapiga kura ni ya kupika, na hiyo sio data pekee zinazopikwa na serikali hii. Matokeo nayo yakawa ni ya kupika kwa kiwango kikubwa. Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu tumekiona kwa macho yetu na wala sio kuhadithiwa. Haukuwa uchaguzi, bali ulikuwa upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Habari wanajamvi,

Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na waliopiga kura ni milioni 15 tu hii ina maana gani?

Wao wenyewe wamesema watanzania wengi wameogopa kwenda vituoni kwa kuogopa polisi ila hii ni sababu dhaifu sana.

Mimi kwa muono wangu hawa watakuwa ni wafuasi wa upinzani tu, wamesusia kwenda kupiga kura kwa sababu wamekatishwa tamaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019.

Swali langu, kama wote hawa wangempigia kura Lissu hamuoni kwamba Dkt. Magufuli tungemuacha kwa mbali? Hata kama wangeiba wangefika sehemu aibu ingewashika.
Hata wangeenda kupiga kura wakampa huyo Lisu, kura zingehesabika amepata Magufuli. Chaguzi zilikuwa kiinimacho
 
Sina shaka ya nilichosema, hiyo idadi ya wapiga kura ni ya kupika, na hiyo sio data pekee zinazopikwa na serikali hii. Matokeo nayo yakawa ni ya kupika kwa kiwango kikubwa. Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu tumekiona kwa macho yetu na wala sio kuhadithiwa. Haukuwa uchaguzi, bali ulikuwa upuuzi kama upuuzi mwingine.
.
 
Habari wanajamvi,

Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na waliopiga kura ni milioni 15 tu hii ina maana gani?

Wao wenyewe wamesema watanzania wengi wameogopa kwenda vituoni kwa kuogopa polisi ila hii ni sababu dhaifu sana.

Mimi kwa muono wangu hawa watakuwa ni wafuasi wa upinzani tu, wamesusia kwenda kupiga kura kwa sababu wamekatishwa tamaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019.

Swali langu, kama wote hawa wangempigia kura Lissu hamuoni kwamba Dkt. Magufuli tungemuacha kwa mbali? Hata kama wangeiba wangefika sehemu aibu ingewashika.
Kumbuka CCM ina wanachama milioni 7

Hapo piga hesabu mwenyewe
 
Back
Top Bottom