Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ni kwamba inawezekana hajui mambo ya huku,lakini hili la uchaguzi lina ukweli ndani yake. Kipigo mlichopata kilitarajiwa na wewe nilikuwa nakuambia miezi sita kabla ya uchaguzi.Huyo uliyemquote kila siku ndio huwa mnasema anakaa Ulaya na hajui mambo ya huku. Leo hii ndio unamtumia kama sehemu ya kufichia ule wizi tuliouna kwa macho yetu. Ni hivi, ule haukuwa uchanguzi, bali upuuzi kama upuuzi mwingine wowote.
We Mbowe alisha kuminyia mfukoni mia ya mboga?
Tulikuambia mapema ukashupaaza, shingo wanaCcm mil 12+ ndio wamemchagua JPM. Na hili la wafuasi wa upinzani kutojitokeza ni ukweli hayo mengine unaleta uongo tu.View attachment 1619479
Una uhakika gani kama zimeibiwa. Kura ni siri ya mtu, inaweza ikaharibika hata ndugu yako anaweza kukunyima kura.Sawaaaa Ila mbona mmeiba kura za familia hii? [emoji2960][emoji2960][emoji2960].
View attachment 1619523
Una uhakika gani kama zimeibiwa. Kura ni siri ya mtu, inaweza ikaharibika hata ndugu yako anaweza kukunyima kura.
Uongo na upuuzi kama huu hauwasaidii. Chuma kinaapishwa keshoAHaa.ndo kura 8 zote ziharibike[emoji2960][emoji2960][emoji2960]..
Hadi house girl wake naye alimnyima kura?.
Unaona jamaa wapo mnadani hapo?View attachment 1619531
Uongo na upuuzi kama huu hauwasaidii. Chuma kinaapishwa kesho
Maneno ya kwenye taarabu usilete kwenye siasa.Aapishwe tu.ila habari zake tunazo.
Anaingia ikulu kwa msaada wa mnada wa kura feki.
VINGINEVYO alikuwa ameshapotea.
Magufuli asingemuweza LISU
Maneno ya kwenye taarabu usilete kwenye siasa.
𝑯𝒊𝒊 nchi 𝒏𝒅𝒐 𝒊𝒍𝒊𝒗𝒐Habari wanajamvi,
Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na waliopiga kura ni milioni 15 tu hii ina maana gani?..
Kwa taarifa yako hiyo 29m+ ni idadi ya kupika, na wapiga kura hawajavuka 10m. Hiyo 15m imetokana na kura za Magufuli za kuchakachua. Kama unadhani wanaona aibu hilo sio kweli maana wangeona aibu uchaguzi wa SM. Magufuli ndio anayeagiza box la kura kunajisiwa ili kuhadaa umma kuwa anapendwa. Watu wengi wanaojitambua hawakuwa na muda wa kwenda kupiga kura, maana haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kuna vitu vya kupika lakini sio data. Wafuasi wa upinzani wamemuangusha lissu. Mabadiliko wanataka halafu kupiga kura hawataki.
Hata wangeenda kupiga kura wakampa huyo Lisu, kura zingehesabika amepata Magufuli. Chaguzi zilikuwa kiinimachoHabari wanajamvi,
Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na waliopiga kura ni milioni 15 tu hii ina maana gani?
Wao wenyewe wamesema watanzania wengi wameogopa kwenda vituoni kwa kuogopa polisi ila hii ni sababu dhaifu sana.
Mimi kwa muono wangu hawa watakuwa ni wafuasi wa upinzani tu, wamesusia kwenda kupiga kura kwa sababu wamekatishwa tamaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019.
Swali langu, kama wote hawa wangempigia kura Lissu hamuoni kwamba Dkt. Magufuli tungemuacha kwa mbali? Hata kama wangeiba wangefika sehemu aibu ingewashika.
.Sina shaka ya nilichosema, hiyo idadi ya wapiga kura ni ya kupika, na hiyo sio data pekee zinazopikwa na serikali hii. Matokeo nayo yakawa ni ya kupika kwa kiwango kikubwa. Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu tumekiona kwa macho yetu na wala sio kuhadithiwa. Haukuwa uchaguzi, bali ulikuwa upuuzi kama upuuzi mwingine.
Kumbuka CCM ina wanachama milioni 7Habari wanajamvi,