Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

Juzi kati nilimuambia jamaa yangu mmoja asijaribu kununua kahaba, atajikuta mikononi mwa polisi. Makahaba mengini ni feki, ni askari polisi wa kike wapo kazini kwenye doria kunasa wanaume wanaonunua makahaba. Hata hivyo makahaba yenye ukiyapata ni shughuli pevu kuyashughulikia ipasavyo, yanadai uongeze hela huku shughuli ya kuridhika haijafanyika, wamekaa kitapeli hawana mapenzi ya kweli
Hahahahaha kwani akinunua kahaba anakuwa amefanya kosa gani kulingana na sheria za nchi?
 
Wananunua Makahaba, Wameacha Familia Zao Zinateseka...!

Wanaenda Kumshitaki Mkuu Wa Wilaya.. SERIOUS.!

Nawashauri Wawe Wapole.... Hiyo Mahakama itakuwa inajaa Watu Kuwashuhudia Wanunuaji Wa Makahaba...
 
Kama kutakua na gharama za kuendesha hiyo kesi tupewe account number tuchangie.
Tunaomba wafungue account watu wachangie, ipo haja sasa hii biashara ihalalishwe, hii ni kazi kama kazi zingine, kama kunyoa nywele zalon huduma za masssage, kwanini wawakamate?
 
Wasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!

Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na kudhalilishwa kwani walikuwa wamelala na wengine walikuwa na wapenzi wao wamepumzika!

Wameeleza kuwa wanajipanga wiki hii kufungua Mashitaka dhidi ya Mkuu wa wilaya binafsi na sio ofisi ya Mkuu wa wilaya kwani wao wanadai kuwa Mkuu wa wilaya ndio alikuwa ana washurutisha jeshi la polisi kuwadhalilisha na waandishi kuwapiga picha na wao hawakupewa nafasi ya kujieleza bali waliunganishwa na makahaba kwenye karandiga!

Wengine wamedai kuwa walikuwa wamelala ili kesho warudi kwa familia zao mikaoni wanashangaa kudhalilishwa na kufedheshwa na Bwana Yahaya aliyejitambulisha kama mkuu wa wilaya!

Wamesema wamesha waambia mawakili wao kumuandikia barua ya kumtaka mkuu wa wilaya kuwasafisha mbele ya jamii kama alivyo wadhalilisha na baada ya siku saba watafungua kesi ya madai dhidi ya Bwana Yahaya na baadhi ya polisi waliokuwa kwenye lile tukio!

N:B Mh Rais alishasema kama mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya yatakayomkuta yanamuhusu yeye sio serikali!
sishabikii watu wawe makahaba, ila nilichoona pale, ni watu ambao hatuna uhakika kama wote ni makahaba, wanavamiwa kwenye vyumba vyao. imagine umepanga chumba, jirani yako ameingiza kahaba, halafu mtu anajiita mkuu wa wilaya, anakuja kukuvamia. tuseme wale woote walikuwa makahaba? na kama ni makahaba kwanini amewadhalilisha na kuwapiga picha vile? huyo mkuu wa wilaya kama ni mtakatifu awe wa kwanza kurusha jiwe, si ukute anachukuaga makahaba pia, au makahaba ya kisomi maofisini humo ila anapenda kuwadhalilisha wenzake. kuna siku na yeye Mungu atamdhalilisha. kwani RC wa simiyu ilikuwaje? kiburi wee Mungu akaja kumdhalilisha na sodomy kwa kabinti hata kasikoeleweka.
 
Wananipa shida sana hawa makahaba nyakati za usiku nalazimika kukwepa viwanja vyao ili nisikutane nao maana siwajui vema, unaweza ukajaa mikononi mwa polisi wakidhani ulipita hapo ili upate kahaba. Makahaba original nao ni wasumbufu wakikiona wanakukimbilia wote na kukutaka uchague model utakayopenda. Ukiwaambia we ni mzee wanakuuli una uzee gani, ina maana huna hana buku mbili ya shaa shaa?

Ukiwapa ukaenda kupata shaa shaa nako utaishia kugusa mlangoni tu na kuambiwa tayari hela yako imeishia hapo la sivyo ongeza hela. Ukiongeza utaruhusiwa kuingia ndani, unapiga in and out mbili tu unaambiwa mi si mke wako ondoka kifuani kwangu, kama vipi ongeza hela uendelee na shoo. Shoo yenyewe inategemeana na dau la hela ni kiasi gani. Kuna dau la kulala mpaka asubuhi hilo ni kubwa. Wale makahaba mpaka buku wanachukua ila hutafaidi penzi lao utaishia kugusa nyonyo tu imetoka hiyo
 
Wananipa shida sana hawa makahaba nyakati za usiku nalazimika kukwepa viwanja vyao ili nisikutand nao maana siwajui vema, unaweza ukajaa mikononi mwa polisi wakidhani ulipita hapo ili upate kahaba. Makahaba original nao ni wasumbufu wakikiona wanakukimbilia wote na kukutaka uchague model utakayopenda. Ukiwaambia we ni mzee wanakuuli una uzee gani, ina maana huna hana buku mbili ya shaa shaa?. Ukiwapa ukaenda kupata shaa shaa nako utaishia kugusa mlangoni tu na kuambiwa tayari hela yako imeishia hapo la sivyo ongeza hela. Ukiongeza utaruhusiwa kuingia ndani, unapiga in and out mbili tu unaambiwa mi si mke wako ondoka kifuani kwangu, kama vipi ongeza hela uendelee na shoo. Shoo yenyewe inategemeana na dau la hela ni kiasi gani. Kuna dau la kulala mpaka asubuhi hilo ni kubwa. Wale makahaba mpaka buku wanachukua ila hutafaidi penzi lao utaishia kugusa nyonyo tu imetoka hiyo
Mbwa wale Wezi Matapeli wa mapenzi hawafai hata kuwaona
 
Hahahahaha kwani akinunua kahaba anakuwa amefanya kosa gani kulingana na sheria za nchi?
wanadai biashara hiyo kwa sababu ina wateja, wateja ndio wanaotafutwa sana. Sheria haitamki kwamba ukahaba ni kosa la jinai. Sanasana wakikamatwa hufunguliwa mashtaka ya uzembe na uzururaji tu hao makahaba na wateja wao
 
Nilishangaa anawagongea milango na kuwaweka Chini ya Ulinzi. Kuna mmama alikuwa na mume wake ila hawakumsikiliza wakamuweka Chini ya Ulinzi na kuondoka naye
 
Kutofuata Sheria ni ugonjwa kwa watanzania wengi mpaka viongozi.

Unaanzishaje operation bila kufanya impact na legal analysis?

Makahaba hawana chapa, katiba inalinda faragha ya mtu, yeye na askari wake aligunduaje kuwa wale ndani ya gest house au lodge walikuwa makahaba na siyo wapenzi?

I wish I could be out of this career that am serving in. 🙏
Uzuri hamna sheria inayokataza mwanamke kuuza mwili wake😃
 
Ila Kiukweli, Mimi hao Waliodhalilishwa mpaka Muda huu Sijawajua Bado...!

Embu Wajitokeze Basi Hadharani tuwatambue....hao Wanunuaji Wa Makahaba...

Vitu vingine bwana... Kila unavyojitetea ndo Unajichoresha Zaidi...!
Mkuu wa Wilaya ndio kajichoresha.
 
Wasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!

Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na kudhalilishwa kwani walikuwa wamelala na wengine walikuwa na wapenzi wao wamepumzika!

Wameeleza kuwa wanajipanga wiki hii kufungua Mashitaka dhidi ya Mkuu wa wilaya binafsi na sio ofisi ya Mkuu wa wilaya kwani wao wanadai kuwa Mkuu wa wilaya ndio alikuwa ana washurutisha jeshi la polisi kuwadhalilisha na waandishi kuwapiga picha na wao hawakupewa nafasi ya kujieleza bali waliunganishwa na makahaba kwenye karandiga!

Wengine wamedai kuwa walikuwa wamelala ili kesho warudi kwa familia zao mikaoni wanashangaa kudhalilishwa na kufedheshwa na Bwana Yahaya aliyejitambulisha kama mkuu wa wilaya!

Wamesema wamesha waambia mawakili wao kumuandikia barua ya kumtaka mkuu wa wilaya kuwasafisha mbele ya jamii kama alivyo wadhalilisha na baada ya siku saba watafungua kesi ya madai dhidi ya Bwana Yahaya na baadhi ya polisi waliokuwa kwenye lile tukio!

N:B Mh Rais alishasema kama mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya yatakayomkuta yanamuhusu yeye sio serikali!
😄😄Walikua wamelala na wapenzi wao ili kesho warudi kwa familia zao,au mi ndio sielewi vizuri...
 
Mbwa wale Wezi Matapeli wa mapenzi hawafai hata kuwaona
watu wanawachukulia poa, wale ni matapeli na wezi, wana mbinu za ziada kumuibia mteja wao wakishirikiana na wenzao wa kiume, hupanga fumanizi feki endapo wameona mteja ana fedha na vitu vya thamani. Kahaba atawasiliana kinamna na matapeli ya kiume yaje chumbani kufumania kuwa unakula mke wa mtu. Mwenye mke feki atachachamaa na kutoa vitisho, vinginevyo myamalize chumbani utoe hela zote na vitu vya thamani unavyotembea navyo kama simu, saa, mikufu ili mambo yaishe kimyakimya ubaki salama
 
Back
Top Bottom