Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

Hii nchi watu wanajiona watakatifu sana kumbe ni mijambazi tuu ,huyo yahaya hajawahi kulala gesti!?,wanaume wengine wana ukuda sana ,jiwe alilorusha litamrudia
 
Pesa inapigwa Kwa viongozi walio chini yake anapiga kimya tu! anakimbilia gest inaonekana nae ni mdau wa kununua vitumbua
 
Akili za viongozi wa Africa
 

Wajinga hao ,wakifungua kama mimi ndiyo mkuu wa wilaya nitamwambia hakimu awape kifungo kikali ili iwe fundisho.

Ma-guest yote yaliyo karibu na stand ya magufuli hawayakuona? TACAIDS wametoa takwimu ya AIDS hali ni mbaya inatisha,wapuuzi kama hao ndiyo wanaongeza rate ya maambukizi...Nampongeza sana mkuu wa wilaya jana kawakamata makahaba ya sinza ,J4 wanabuluzwa kwa pilato.
 
Nini?
 
Imagine uliipanga Pisi ije ukaitumia nauli.. ww ukatangulia huko GESTI..

Pisi yenyewe haikuja.. Nauli imeliwa bado na hao jamaa wakakubebelea kwenda kituoni[emoji28].

Nendeni sehem za maana hzi Gesti za buku buku ndio shida yake hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…