LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
wanakunja mguu mmoja ili isizame yote ndani achomoe kirahisi ili uongeze helaNa hapo anakunja Mguu mmoja ila sijawahi kuelewa kwanini wanakunjaga Mguu mmoja Mbwa wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanakunja mguu mmoja ili isizame yote ndani achomoe kirahisi ili uongeze helaNa hapo anakunja Mguu mmoja ila sijawahi kuelewa kwanini wanakunjaga Mguu mmoja Mbwa wale
Hii nchi watu wanajiona watakatifu sana kumbe ni mijambazi tuu ,huyo yahaya hajawahi kulala gesti!?,wanaume wengine wana ukuda sana ,jiwe alilorusha litamrudiaWasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!
Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na kudhalilishwa kwani walikuwa wamelala na wengine walikuwa na wapenzi wao wamepumzika!
Wameeleza kuwa wanajipanga wiki hii kufungua Mashitaka dhidi ya Mkuu wa wilaya binafsi na sio ofisi ya Mkuu wa wilaya kwani wao wanadai kuwa Mkuu wa wilaya ndio alikuwa ana washurutisha jeshi la polisi kuwadhalilisha na waandishi kuwapiga picha na wao hawakupewa nafasi ya kujieleza bali waliunganishwa na makahaba kwenye karandiga!
Wengine wamedai kuwa walikuwa wamelala ili kesho warudi kwa familia zao mikaoni wanashangaa kudhalilishwa na kufedheshwa na Bwana Yahaya aliyejitambulisha kama mkuu wa wilaya!
Wamesema wamesha waambia mawakili wao kumuandikia barua ya kumtaka mkuu wa wilaya kuwasafisha mbele ya jamii kama alivyo wadhalilisha na baada ya siku saba watafungua kesi ya madai dhidi ya Bwana Yahaya na baadhi ya polisi waliokuwa kwenye lile tukio!
N:B Mh Rais alishasema kama mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya yatakayomkuta yanamuhusu yeye sio serikali!
Duuuh nani kawafundishawanakunja mguu mmoja ili isizame yote ndani achomoe kirahisi ili uongeze hela
What goes around comes aroundHii nchi watu wanajiona watakatifu sana kumbe ni mijambazi tuu ,huyo yahaya hajawahi kulala gesti!?,wanaume wengine wana ukuda sana ,jiwe alilorusha litamrudia
Kuna Ma RC na Ma DC bado ni Wababe- Samia
Mwenzie ana kesi ya marinda,ila Katika dhambi ukiwa kiongozi unaona ukifanya madhambi huonekaniWhat goes around comes around
Wenyewe wanadai Yahaya kiarabu; kizungu John; kiswahili Yohana!Wiki ya akina Yahaya hii
RC Yahaya
DC Yahaya
Sina adabu kabisaa!, Tumia aikili mnemboTunajiandaa na watoto kwenda kidato cha tano badala ya kufatilia madawati walimu na vyumba vya madarasa unaenda kupiga chabo kweli? Shenzi kabisa
Walio wengi wakipewa dhamana huahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekezaMwenzie ana kesi ya marinda,ila Katika dhambi ukiwa kiongozi unaona ukifanya madhambi huonekani
Akili za viongozi wa AfricaWasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!
Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na kudhalilishwa kwani walikuwa wamelala na wengine walikuwa na wapenzi wao wamepumzika!
Wameeleza kuwa wanajipanga wiki hii kufungua Mashitaka dhidi ya Mkuu wa wilaya binafsi na sio ofisi ya Mkuu wa wilaya kwani wao wanadai kuwa Mkuu wa wilaya ndio alikuwa ana washurutisha jeshi la polisi kuwadhalilisha na waandishi kuwapiga picha na wao hawakupewa nafasi ya kujieleza bali waliunganishwa na makahaba kwenye karandiga!
Wengine wamedai kuwa walikuwa wamelala ili kesho warudi kwa familia zao mikaoni wanashangaa kudhalilishwa na kufedheshwa na Bwana Yahaya aliyejitambulisha kama mkuu wa wilaya!
Wamesema wamesha waambia mawakili wao kumuandikia barua ya kumtaka mkuu wa wilaya kuwasafisha mbele ya jamii kama alivyo wadhalilisha na baada ya siku saba watafungua kesi ya madai dhidi ya Bwana Yahaya na baadhi ya polisi waliokuwa kwenye lile tukio!
N:B Mh Rais alishasema kama mkuu wa wilaya au mkoa akitumia madaraka vibaya yatakayomkuta yanamuhusu yeye sio serikali!
Wasalaam!

Nini?Wasalaam!

Pia soma:Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine uliipanga Pisi ije ukaitumia nauli.. ww ukatangulia huko GESTI..
Pisi yenyewe haikuja.. Nauli imeliwa bado na hao jamaa wakakubebelea kwenda kituoni[emoji28].
Nendeni sehem za maana hzi Gesti za buku buku ndio shida yake hii.