Walioko ofisini nafasi za juu lakini hawafai kuwepo walitakiwa kushtakiwa

Walioko ofisini nafasi za juu lakini hawafai kuwepo walitakiwa kushtakiwa

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani yule ndio angekua wa kwanza kuacha kazi na kushtakiwa. Halafu Polisi waliosema kua ni AI sasa hivi asingetakiwa kua Ofisini yule HAFAI kwa ULINZI wa RAIA na MALI ZAO.

Mkuu wa USALAMA WA TAIFA ambae mtoto wake alikua anacheze dollar laki 3 kwenye matiti alitakiwa yule mtoto ahojiwe au kushtakiwa..... Taifa lina watu wengi wasiofaa kua Ofisini wako Ofisini ndio maana mambo yapo yalivyo
 
Back
Top Bottom