Waliokua wamepanga kumuua John Heche ndo wamekuja na Plan B kwamba anatumia vibaya pesa za chama trust no One

Waliokua wamepanga kumuua John Heche ndo wamekuja na Plan B kwamba anatumia vibaya pesa za chama trust no One

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Waliokua wamepanga kumuondoa Joh Heche kwa kutoa uhai wake ndo wamekuja na hii plani kwamba Heche ametumia vibaya pesa za michango ya chama? Heche si ndo huyu huyu dereva wake amefariki Kifo cha kutatanisha?

Leo huyo Heche bado yuko kwenye majonzi ya kufiwa na dereva stil wanaimbuka watu kusema Heche anakuja michango ya chama hao hao ndo walikua na plani ya kufanya mauaji ya John Heche ukitafakari wamemkosa huku wameamua kuja na skendo ya kumchafua Trust no one.
 
Kwa msimamo wa Heche dhidi ya madharimu ya ccm na chura kiziwi wao, acha acha tu ale atakavyo hizo hela
Ninatafuta namba zake nimtumie pesa yeye binafsi ale kitu akipendacho huyu mpambanaji wa kweli?
 
Ukiangalia wanavyoshupalia jambo la Heche unabaki unajiuliza maswali mengi sana
 
Ukiangalia utetezi wao huyo jamaa hizo hela kala kweli.

Wanasema alipewa hela na wafanyabiashara kwaniaba ya Chama akaona azitumie.

Hata kama hazikuwekwa kwenye akaunti ya chama kwa kuwa ni kwa ajili ya chama angezifikisha tu chamani.

Kuzitumia ni makosa.
 
Nani hao walipanga kumuua kamanda tuanze nao
 
Back
Top Bottom