stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Tangu lini wakawa na akili?Bado mna mbinu hizo outdated?
Wanaccm walio wengi battery zao zipo low mno! Yaani kwa hizi propaganda mfu Bado mnajiita watetesi wa ccm?sasa apo tumehusika vp
ivi na wewe umekaa unasubiria ICCWanaccm walio wengi battery zao zipo low mno! Yaani kwa hizi propaganda mfu Bado mnajiita watetesi wa ccm?
Kuna hoja Gani hapo ya kitaifa na au ya kukunasueni ICC?
Wewe, Butiku na huyo Dr wa mchongo ambaye naye kwanza vita na wagombea wa peramiho hamstahili nafasi mliojipa! Ujinga tu na kutujazia saver.
Usisahau kucheka ni kupokezana! Pin hii nitakukumbusha.ivi na wewe umekaa unasubiria ICC
View attachment 3532955