Umeona nawaanzishia nyuzi kama wewe unavyofanya kwa kuandika nyuzi kuhusu Chadema kila wakati?unawapenda sana uvccm sio bure, karibu sana
Kipengele Gani Cha mwenendo wa mashtaka Cha ICC kimekueleza hayo?unapoteza mda hakuna raisi anaweza kukamatwa na ICC mpaka mda wake uishe, na ni yeye anatakiwa kwenda hawezi kufuatwa
nenda kasome kitu kinaitwa MALABO PROTOCOL utaelewa kwann bado maraisi wako wanaendelea kutambaKipengele Gani Cha mwenendo wa mashtaka Cha ICC kimekueleza hayo?
Yaani mtu aue ili apate madaraka halafu aachwe Hadi amalize kutawala! Akiamua kung'ang'ania madarakani umejiuliza itakuwaje? Fikiri kwa hekima na kama ukivalishwa viatu vya waathirika utaeleza huu ujinga wako hapa? Na acha kutetea ushuzi humu!
Kwa mda wa kujibizana na machawa mnautoaga wapi?.Sijaingalia video ni kupoteza muda wangu!
Machawa wanakera sana kuna mda unayafinya tu hamna namnaKwa mda wa kujibizana na machawa mnautoaga wapi?.
Unajidanganya sana. Kenyatta kwani hakuwa Rais alivyoenda ICC?unapoteza mda hakuna raisi anaweza kukamatwa na ICC mpaka mda wake uishe, na ni yeye anatakiwa kwenda hawezi kufuatwa
🤣 🤣 sasa si mkiambiwa na watu baki mnaona wana wivu
Unajiandikia tu bila facts! Kama kweli yeye ni jikeshupa aende hata hapo Kenya tuone Kama atarejea kisimkazi na hiyo malabi protocol yenu!nenda kasome kitu kinaitwa MALABO PROTOCOL utaelewa kwann bado maraisi wako wanaendelea kutamba