Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

Hiyo ni mada tofauti kama ilivyo hii:

Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

Zingatia hii walalamikaji ni waisrael yaani mabosi wake Natenyahu.
 
Haya siyo mapicha Bali taarifa alizo nazo Natenyahu zinazomfanya kukosa usingizi. Watu hawamtaki madarakani

Kwa sasa Gaza inazidi kufanywa shamba, IDF inaelekea Kusini, mazombi yenu yanafinywa balaa wewe unahangaika kupost mapicha.
 
Tuonyeshe maiti ya ndugu yetu mmoja wa Hamas aliyeuawa na mashoga wenzio tukupe laki Sasa hivi! Mizayuni inakwisha huko mbumbumbu wewe

Ndugu yenu yupi, nyie mazombi wa hiyo dini huwa hamna undugu na yeyote, juzi Mtanzania ameuawa mkashabikia, na sasa hivi kuna Mtanzania bado mateka ila mnaendelea kushabikia hao mabwana zako kisa dini, useless.
 
Wapalestina waliokua wamekimbilia Kusini hawana kwa kwenda tena, na huko IDF inaenda kupafanya shamba, wewe endelea kupost mapicha.

Kwani umeona picha za BBI hapa ndugu?

"Bernie Sanders, an independent who generally votes with Democrats, also voted No. He has expressed concerns about funding Israel's "current inhumane military strategy" against the Palestinians."

Hayo ni maneno ya waungwana!
 
Wapalestina waliokua wamekimbilia Kusini hawana kwa kwenda tena, na huko IDF inaenda kupafanya shamba, wewe endelea kupost mapicha.

Kwamba "in breach of international law" dhidi ya binadamu wakiwamo watoto wadogo, haliwezi kuwa jambo la kunivunia kutoka kwa mtu mwenye akili timamu.
 
Mapandikizi ya Hamas, walitekwa kimkakati ili baadae wakiachiwa waje waseme hayo.

Katika mambo ya intelligence vitu hivi sio vigeni.

Israel inayajua hayo ndio maana bado wanaendelea kutembeza kichapo
 
Lazima wafe ili wengine waishi kwa amani vizazi vijavyo
 
Mapandikizi ya Hamas, walitekwa kimkakati ili baadae wakiachiwa waje waseme hayo.

Katika mambo ya intelligence vitu hivi sio vigeni.

Israel inayajua hayo ndio maana bado wanaendelea kutembeza kichapo

Utakuwa unaongelea mateka wa M23 bIla shaka
 
Mtakufa hadi mtie akili, leo nimeona mkuu wenu amezingirwa, nilikuambia mapicha hayasaidii, mtemane na Myahudi.
 
Hujishangai kuwa ni wewe peke yako unayeongelea udini kwenye vita hivi?

Hiyo dini inasababisha muwe kama mazombi, na mtakufa sana, temaneni na Myahudi.
 
Kwamba "in breach of international law" dhidi ya binadamu wakiwamo watoto wadogo, haliwezi kuwa jambo la kunivunia kutoka kwa mtu mwenye akili timamu.

Mlipokua mnaua watoto wa Wayahudi hamkujua hizo breaches, chezea Myahudi utalia, tena yule ni katili fulu balaa dadeki hadi raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…