Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
makazi ya skuizi wanapeana wao kwa wao. Kampuni la mjomba kazi wanapewa watoto wa dada.
serikalini huko matoto ya viongozi yanapenyezwa kilaini, uozo mtupu dadako ameolewa na waziri wa fedha malalamiko ya kazi utayaskia kwa wenzako tu