Issue sio shule ya bei au ya Bure ni anasoma nini kitakachomletea matokeo mazuri in future yepi? Mfano unataka mtoto awe engineering unajua hapo itajlhitajika PCM sasa unaanza kusaka shule bora kuanzia O level ambayo ipo vizuri masuala ya fizikia,kemia na hesabu akimaliza I level unampeleka nzuri ya A level ambayo iko vizuri kwenye PCM ikiwa ya serikali nzuri sawa ikiwa ya private nzuri sawa. lakini hakikisha ni nzuri.Usiangalie bei tu cheap maisha ni sacrifice pia usidhani mtelezo tu. TOTO unalibwaga shule yeyote litajijua wewe unakanyaga pombe. Utazalisha toto bwege at the end of the day ambalo litakuwa mzigo kwako likiwa jitu Zima