Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Tuchape kazi tuwaache wapiga dili wa Sous
 
Yani hapa ni CHONGO NA KENGEZA

Sasa ni maajabu kwa jinsi mwenye CHONGO anavomcheka mwenye KENGEZA!


Maana mwisho wa siku MCHINA lazima ATUBAKE tuu no way out...

Na hakuna kujisifu maana mpaka hapa tulipofika NI KWA NEEMA tu!
 
Heheee!!!tuonyeshe ile tazara basi ikibeba double stack empty containers kurudi port
Why should it carry empty containers? Besides, it's better you have compared your SGR to TAZARA. Tz SGR is out of your league.
 
Double stack is possible kama railway sio electric, maana itabidi locomotives ziwe na pantographs ndefu sana na hiyo siyo kitu kizuri kwenye stability.. sisi TZ tumechagua electric na ndio maana hatuhangaiki na double stacking.. nyie bado mpo 1970s na malocomotive ya diesel..

Marekani wanaitumia sana double stacking kwa kuwa sehemu kubwa ya reli zao sio electric..
 
Double stacking is realy not an advanced technology, the towing power is what is the determinant,Electric Trains have more Torque than Diesel-Electric locomotives..They can tow more containers at a faster speed
 
Kiujumla ungehitimisha umasikini mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…