mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Bila Picha babaa hakuna kitu unaweza nisikizia, Upuzi wa mdomo mdomo na umbea tunawajua nyinyi kubobea sana. Siku ile Tz itapata double stack wewe piga Picha alafu unitag nijuskize but as for now mkutano wa mnanda na huna Ng'ombe alafu wewe ndio kwenye mdomo mkubwa unafikiri kuna wa kukusikiliza?Kinachobeba double stack sio behewa unalotaka kuliona bali designing ya reli yenyewe kuanzia kwenye kimo cha tunnels, uimara wa reli, kimo cha charging cables from the rail top and other sensitive factors so mpaka uone we have ordered double stack wagons more than 50
Made up your mind we have finished the job and settled the case of running double stack wagons on our SGR
Tena narudia ukipata SGR na ianze kusafirisha hata gram moja nitag...kwa sasa hamna tofauti yenu na Somalia, South Sudan na Burundi kwa kuwa wrote hawana a working SGR.