Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
wabongolala wanazengua banaTena bila kuzinduliwa na kiongozi wa taifa au habari kwenye runinga...yani ni jambo la kawaida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wabongolala wanazengua banaTena bila kuzinduliwa na kiongozi wa taifa au habari kwenye runinga...yani ni jambo la kawaida sana.
onesha vile ilivyodizainiwa. sio maneno matupuHaa haa we jamaa bwana,sisi SGR yetu imedizainiwa kubeba 35ton/axle load.Sasa tushindwe kuwa na behewa za namna hiyo.Ninachofahamu kwenye behewa zitakazokuja huko mbeleni zipo 50 kama hizo kwa ajili ya kubeba mizigo.Siku njema kiongozi.
defense mechanism. [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]This is not a popular thread to those jealous southern neighbors, so I expect the following;
1.Geza ulole to open a new thread detailing how theirs is triple stack ghost railway.
2. redeemer to do the same as the minion above only that it will be a new topic meant to deflect this thread.
3.@geza ulole to open a new thread on the negative about Kenya after a thorough search on goole, or a Tanzanian thread totally irrelevant matters concerning Kenyan news.
For a deflated ego belonging to an inferiority complex driven people.defense mechanism. [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Ungejua mnakoelekea na huyo Mchina wenu, huwezi hata jaribu kutaka kutambia hilo Gari Moshi.Watanzania watuonyeshe double stack, la si hivyo wakae kimya.View attachment 881762View attachment 881763
U r a genius.Ofcourse especially when u see a last wagon empty! Those r empty containers direction Mombasa.
The nature of our bridges and tunnels limits the height to one container only so double stalking is not possible on all of our railways.Watanzania watuonyeshe double stack, la si hivyo wakae kimya.
Those must be empty containers!
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]For a deflated ego belonging to an inferiority complex driven people.
Nani kakuambia hakuna double stack kwenye SGR ya Tanzania 🇹🇿?Yenu ni feki ndio maana hamna double stack
we moja ya waafrica wachache wenye akili sana kama mzungu..As East Africans - we should channel our efforts towards development & cooperation for mutual benefits instead of kusimangana na kuchambuana. If we are together we are strong
Hizo sindano zote umedungwa pale Muhimbili? Natumai hujalazwa.[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Picha iko wapi? Nyang'au hapendi mdomo anapenda action.Nani kakuambia hakuna double stack kwenye SGR ya Tanzania 🇹🇿?
Kwani hiyo esiijiaraaa ni nyenu wakenya acha nicheke kidogo ,sijui bange gani wakenya na raisi wenu anavutaWalidhani hii siku haitafika