Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Picha iko wapi? Nyang'au hapendi mdomo anapenda action.
Jirambe 😊😝
IMG_20180930_080308_853.jpg
 
we moja ya waafrica wachache wenye akili sana kama mzungu..
waafrica tunasimangana badala ya kujipongeza na ku share tricks why wenzetu wamefanikiwa
Wazungu wamekua na sayansi na takinolojia kubwa kwa sababu ya ushindani kama siyo ushindani Leo tz tusingeongelea sgr ya umeme na Kenya isinge kuwa na mpango wa haraka kuusu kutaka BRT
 
Wazungu wamekua na sayansi na takinolojia kubwa kwa sababu ya ushindani kama siyo ushindani Leo tz tusingeongelea sgr ya umeme na Kenya isinge kuwa na mpango wa haraka kuusu kutaka BRT
haswaaa...sisi mpaka leo wanasiasa mtaji wao ntaleta maji na zahanati
 
Angalau wewe umepunguza machungu kwa kuchangia povu kuwaliko wenzako wanaopita kimya kimya wakielekea Muhimbili kupumilia mashine.
Hahahaha... wewe nyang'ao umenichekesha sana! Yaani nyinyi hiyo SGR mmeiona ya maana sana kwa sababu ya kubeba double containers tu? Mwendo ni wapunda mkubali tu wachina wamewapiga pesa ndefu!
 
The nature of our bridges and tunnels limits the height to one container only so double stalking is not possible on all of our railways.
Electrification of our SGR will as well make impossible for the new railway line to double stalk.
Sawa, usiwahi tena ongea matope kuhusu Kenyan Sgr
 
Kwani hiyo esiijiaraaa ni nyenu wakenya acha nicheke kidogo ,sijui bange gani wakenya na raisi wenu anavuta

waende japo Zambia wakajifunze, how the right of a public facility is surrendered to a lender as a foreclosure implementation.
 
Hahahaha... wewe nyang'ao umenichekesha sana! Yaani nyinyi hiyo SGR mmeiona ya maana sana kwa sababu ya kubeba double containers tu? Mwendo ni wapunda mkubali tu wachina wamewapiga pesa ndefu!
Yenu iko wapi?
 
Angalau wewe umepunguza machungu kwa kuchangia povu kuwaliko wenzako wanaopita kimya kimya wakielekea Muhimbili kupumilia mashine.
Ila fahamu China itabidi awatawale tu hamna namna ukistaajabu ya Zambia yanakuja ya Kenya.
 
Hii imesimama ili ipigwe picha then hizo mizigo zitashushwa ili ichape mwendo
 
Sasa hii ni fedha yetu wenyewe tunanunua haya mavitu huko nyumba ya jirani hawana tofauti na mwanaume dhaifu tena mwenye upungufu wa nguvu za chini anatafutiwa mke na kumuolea,chakula analishiwa mavazi anasaidiwa kuvalishiwa mpaka mpini anasaidiwa,ndio majirani zetu kilichopo.
 
Tena bila kuzinduliwa na kiongozi wa taifa au habari kwenye runinga...yani ni jambo la kawaida sana.
Uliwahi ona wapi unaona demu barabarani unajigamba wa kwako?reli ya mchina,treni zake za makaa ya mawe za mchina,madereva wa kichina sasa ulikuwa unataka uhuru aende akazindue kitu kisicho chake?,pamoja na viroba kichwani anajielewa.
 
Back
Top Bottom