Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Kinachobeba double stack sio behewa unalotaka kuliona bali designing ya reli yenyewe kuanzia kwenye kimo cha tunnels, uimara wa reli, kimo cha charging cables from the rail top and other sensitive factors so mpaka uone we have ordered double stack wagons more than 50

Made up your mind we have finished the job and settled the case of running double stack wagons on our SGR
Bila Picha babaa hakuna kitu unaweza nisikizia, Upuzi wa mdomo mdomo na umbea tunawajua nyinyi kubobea sana. Siku ile Tz itapata double stack wewe piga Picha alafu unitag nijuskize but as for now mkutano wa mnanda na huna Ng'ombe alafu wewe ndio kwenye mdomo mkubwa unafikiri kuna wa kukusikiliza?

Tena narudia ukipata SGR na ianze kusafirisha hata gram moja nitag...kwa sasa hamna tofauti yenu na Somalia, South Sudan na Burundi kwa kuwa wrote hawana a working SGR.
 
Angalau wewe umepunguza machungu kwa kuchangia povu kuwaliko wenzako wanaopita kimya kimya wakielekea Muhimbili kupumilia mashine.
We ni kiboko yao
tapatalk_1537469109226.gif
 
Bila Picha babaa hakuna kitu unaweza nisikizia, Upuzi wa mdomo mdomo na umbea tunawajua nyinyi kubobea sana. Siku ile Tz itapata double stack wewe piga Picha alafu unitag nijuskize but as for now mkutano wa mnanda na huna Ng'ombe alafu wewe ndio kwenye mdomo mkubwa unafikiri kuna wa kukusikiliza?

Tena narudia ukipata SGR na ianze kusafirisha hata gram moja nitag...kwa sasa hamna tofauti yenu na Somalia, South Sudan na Burundi kwa kuwa wrote hawana a working SGR.

Ahaaa haaa haaa
the other time you said, mkinunua hata NDEGE moja tuwaTag, tumeshanunua ndegem
again mkasema mkikua na hata sentimeta moja ya SGR tuwatag, but of now we have 50+km.
sasa mnasema ikianza kubeba makontena tuwaTag, I promise we'll do dat.
 
Sio makontena tu bali lazima yawe double stack. Turudie tena kwa pamoja "double stack". Tena kwa sauti "double stack".
 
Ningependa kukungojea hadi mwaka ujao alafu nikuonyeshe screenshot ya comment yako nikikutag kwa picha za SGR kenya phase 2 zikipitisha double stack kama suprise! Lakini ntakuanzisha sahii early in advance ili usije ukashikwa na heart attack.

Hii hapa double stack wagons ikitumia electric rail na inapita chini ya tunnel huko China. Tunnel yenyewe ilijengwa na kampuni hio hio, height ya tunnel ni the same na ya Kenya at 7.6meters

View attachment 882180
Naona umenisaidia kumwonyesha mtu ambae alisema ya Tz haitakua na capability ya double stack kwa kua ni electric. Ukitumia hoja ya contractor mmoja unakua unayumba! Jipange uje na hoja nyingine.
 
Kwa hiyo unashindana Na Wa Tanzania?
 
Kwa hiyo unashindana Na Wa Tanzania?
Watanzania ndiyo wanashindana na sisi. Tunawaambia wakome kwa sababu hatuko level moja lakini wao kichwa ngumu hawasikii.
 
Wewe mbumbumbu sana watanzania tushindane Na nyinyi kwa lipi Sasa maskini tu nyinyi.
 
Hakuna mtu anajua direction ya hio train, huyo Geza ni wivu inamsumbua
Saut Sol Wamekwisha watahadharisha juu ya mapesa mliokopa Uchina mkajenga Reli na barabara zilizobaki michenji Mkagawana!

"...Kenya mko na disaster...mko kwa JF mnajibizana!.."

Cc
MK254
Kenya254
 
Attachments

Ahaaa haaa haaa
the other time you said, mkinunua hata NDEGE moja tuwaTag, tumeshanunua ndegem
again mkasema mkikua na hata sentimeta moja ya SGR tuwatag, but of now we have 50+km.
sasa mnasema ikianza kubeba makontena tuwaTag, I promise we'll do dat.
Mnitag tafadhali alafu hiyo 50km iko wapi kama sio ile ya mdomo? Picha?
 
Ningependa kukungojea hadi mwaka ujao alafu nikuonyeshe screenshot ya comment yako nikikutag kwa picha za SGR kenya phase 2 zikipitisha double stack kama suprise! Lakini ntakuanzisha sahii early in advance ili usije ukashikwa na heart attack.

Hii hapa double stack wagons ikitumia electric rail na inapita chini ya tunnel huko China. Tunnel yenyewe ilijengwa na kampuni hio hio, height ya tunnel ni the same na ya Kenya at 7.6meters

View attachment 882180
This tunnel in ths foto is not Kenya! Kadanganye mambumbu wenzio! Na over head cables kwa ajili ya electric SGR zitawekwa wap?
 
Back
Top Bottom