mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Sana sana, kujifanya wanakaa uzunguni kumbe hata kodi hawalipi, wanang'ang'ania tu nyumba za watu, fundisho kwa wapangaji..Safi sana. Hiyo ndiyo dawa ya wapenda vya dezo. Wakati wengine tunaumia kulipa kodi kwenye nyumba za kupanga wao wakae dezo? Sio kwa zama hizi. Wakajenge za kwao kama wanapenda kukaa bure.