Safi sana. Hiyo ndiyo dawa ya wapenda vya dezo. Wakati wengine tunaumia kulipa kodi kwenye nyumba za kupanga wao wakae dezo? Sio kwa zama hizi. Wakajenge za kwao kama wanapenda kukaa bure.

Hata akijenga yake, bado hawezi kuishi bure.
WaTz tumezoea sana vitu vya burebure na kutumia udhaifu wa sheria za kizamani kuendeleza nia zao ovu.
Sasavwamekumbana na wajuaji wenzao.