Waliokuwa watuhumiwa, warasmishwe kuwa Walinzi Chadema

URIO afukuzwe jeshi,,, ni snitch...

Watu type yake vitani hawafai,, wakidakwa watatoa siri zote za kambi...

Hana Credibility hio.

Nani kama Lijenje? Nani kama Komando Mhina?

Au nani kama hawa hapa?



Kwa hakika Mola atawalipa.
 
Hawa jamaa ni makomandoo walio iva hasa Hasa Lingw'enya yule jamaa ni hatari sana ,kwani anauwezo mkubwa sana wakuyasoma mazingira na kuyafanyia kazi.Kwani kwenye mahabusu yote alizowekwa. Aliweza kusoma mazingira kwa haraka na kuzoea na na wahusika kama vile siyo mfungwa kwahiyo akawa anapata mahitaji muhimu na kumsaidia mwenzake huku wote wakiwa ndani.
 

Commando Ling'wenya ndiye aliyemwona yule Luteni akilizwa kwenye magari mabovu.

Commando Ling'wenya hakumwacha peke yake Adamoo akiwa roughed na kina Kingai.

Commando Ling'wenya alifuatilia Adamoo akipelekwa kuteswa, akirudishwa na hata alipokuwa Selo, Moshi.

Commando Ling'wenya alifuatilia kujua Adamoo alikuwa naye kwenye gari moja kuja Dar.

Commando Ling'wenya alifuatilia kujua Adamoo yuko na pia Tazara.

Commando Ling'wenya alikuwa shahidi wa utetezi kwake Adamoo.

Commando Ling'wenya ni rafiki wa kweli wa Commando Kasekwa na Mh. Mbowe.

Hakuna wawili wanaweza kuwa sawa.

Kwa hakika Commando Ling'wenya ni baba lao.
 
Kwa ninavyojua, siyo Lijenje, ni Moses Lujenje, nilikuwa naye kombania moja recruit course Makutupora mwaka 2001 Hadi 2002 tulipotenganishwa... Since then ndo nimesikia story yake kwenye kesi ya mbowe

Kina sisi tunaambiwa na kusoma kwa ufasaha kwenye machapisho mbalimbali:



Majina ya kibantu haya tena.

Ulimi hauna mfupa yawezekana wewe au wanao tuhabarisha ndiyo waliojikwaa.

Kumbuka kujikwaa si kuanguka, la msingi yuko mzee Kakobe (pichani)?
 
Utasiikia Mabeyo amewasamehe warudi kuripoti kambini πŸ˜„πŸ˜„

Hawawezi kurudi huko wanaume wa shoka hawa.

Tamu ya ukombozi wa nchi itakuwa imekwisha mea.
 
Shetani akiruhusiwa kutamalaki anajiona ni mwema hana kosa wala dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…