Waliokuwa watuhumiwa, warasmishwe kuwa Walinzi Chadema

Warudishiwe bastola yao

Mwenye nayo kesharudishiwa:

IMG_20220307_180641_437.jpg
 
Makomando hawa walionyanyasika bila ya kutetereka na Mh. Mbowe, ni wakati wa kuutambua mchango wao usio kifani na kuwalipa ipasavyo.

Walinyanyasika na kuhukumiwa wakiwa kwenye harakati zao kujipatia ajira (VIP Protection). Na wapewe ajira hizo sasa.

Mohammed Ling'wenya, Adam Kasekwa, Khalfan Bwire bila kumsahau Komando Mhina na wenzao wamejipambanua kuwa ni wazalendo kweli kweli.

View attachment 2138932

Makomando hawa waliamini katika haki, wameishi katika haki na kudumu katika haki.

Kwa hakika vita vilivyo vizuri wamevipiga na hatimaye mwendo wameumaliza wakiwa washindi!

Hawa watu ni mashujaa wenye kuweza kuaminika kuwalinda viongozi wetu salama pasipokuwa na shaka, wakiwamo kina Mh. Lissu walio njiani kurejea nyumbani karibuni.

Nani kama makomando hawa?

Yuko wapi Moses Lijenje? Yuko wapi mzee Kakobe?
Sio kwamba Kakobe wamemficha wao, them the satany company
 
Kwa maana hiyo ni uthibitisho tosha pasipo kuacha chembe ya shaka kwamba walihusika katika kula njama za kutenda matendo ya kigaidi pamoja na mwenyekiti wa CDM kama tuhuma zilivowasilishwa mahakamani?
 
Sijajua kwa nini haukwenda kutoa ushahidi kama ndivyo ubongo wako unakutuma uwaze?
 
Kwa maana hiyo ni uthibitisho tosha pasipo kuacha chembe ya shaka kwamba walihusika katika kula njama za kutenda matendo ya kigaidi pamoja na mwenyekiti wa CDM kama tuhuma zilivowasilishwa mahakamani?

Kwamba ungekuwa jaji Yoachim Tiganga ungefunga mtu maisha sasa kwa sababu umepata uthibitisho wote wa kula njama?

Bure kabisa!

Yumkini wewe ni Kerubi.
 
Back
Top Bottom