Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

KWa tokeo hili naweza pata nafac kweli? phy-E,chem-D,bio-D,geog-D,engl-D,civ-D,kisw-D,hist-E,math-F napenda kusomea LAB na zile selform nilichagua TECHNICAL EDUCATION chaguo la kwanza vp hapo nipen info wakuu
 
KWa tokeo hili naweza pata
nafac kweli? phy-E,chem-D,bio-D,geog-D,engl-D,civ-D,kisw-D,hist-E,math-F
napenda kusomea LAB na zile selform nilichagua TECHNICAL EDUCATION
chaguo la kwanza vp hapo nipen info wakuu

ungejaribu ku apply chuo cha maji ubungo(WDMI)kuchaguliwa kutoka shule direct ni impossible
 
KWa tokeo hili naweza pata nafac kweli? phy-E,chem-D,bio-D,geog-D,engl-D,civ-D,kisw-D,hist-E,math-F napenda kusomea LAB na zile selform nilichagua TECHNICAL EDUCATION chaguo la kwanza vp hapo nipen info wakuu

Itabidi upige Pre entry !

Mana huja kidhi vigezo vyakuingia direct !

Utasoma miezi mitatu kwanza ! Utapiga pepa ! Uki pass ! Ndipo unaingia sasa ! Moja kwa moja ! Nadhani ni certificate kama sijakosea !
 
Nashukuru kwa kunifumbua,sasa je ni chuo gani? ambapo natakiwa nikafanye hiyo pre-entry? na lini? msaada mkuu
 
Itabidi upige Pre entry !

Mana huja kidhi vigezo vyakuingia direct !

Utasoma miezi mitatu kwanza ! Utapiga pepa ! Uki pass ! Ndipo unaingia
sasa ! Moja kwa moja ! Nadhani ni certificate kama sijakosea !

kwa hyo F ya hesabu ata pre-entry sidhani
 
ungejaribu ku apply chuo cha maji ubungo(WDMI)kuchaguliwa kutoka shule direct ni impossible

nashukuru, lakin mm mawazo na akil yangu yote na lengo langu lilikuwa kusomea LAboratory technology iwe ya viwandani,hospitalini potelea mbali vyovyote vile ilimrad iwe LAB naomben ushauri wakuu kuhusu hilo
 
Jamani hapa tulipofikia si kazi ndogo !

Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kufika mpaka leo hii !

Tukijuliana hali sio mbaya !

Wasalaam !

Namshukuru mungu nimepata division II-18,Japo nilisoma shule ya kata bonde ziwa rukwa, Napenda kusoma pugu boyz EGM.
 
Nashukuru kwa kunifumbua,sasa je ni chuo gani? ambapo natakiwa nikafanye hiyo pre-entry? na lini? msaada mkuu

kama unataka kwenda DIT Ingia website ya DIT kaangalie form nadhani walitoa mda mrefu ! Sidhani kama hujachelewa !

Ila vyuo ni vingi sio DIT pekee

kuna Mbeya, Arusha, na Dar hapo vipo viwili !

Kaangalie ukishindwa kuelewa ni PM nikusaidie !

Websites hizi apa chini

DIT ==> DIT Home

MUST (mbeya) ===> Mbeya University of Science and Technology | home page

ATC (arusha) ====> ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference
 
Namshukuru mungu
nimepata division II-18,Japo nilisoma shule ya kata bonde ziwa rukwa,
Napenda kusoma pugu boyz EGM.

hahaha hongera kijana kama unajua unajua tu ata kama ukisoma mtaroni
 
Namshukuru mungu nimepata division II-18, ++++ ++++++ ++ ++ ++++ (text deleted by snipa) bonde ziwa rukwa, Napenda kusoma pugu boyz EGM.

Pamoja kaka Kakaze EGM inatoa !
Japo mi second choice ni PCB tu nothing else
 
Ndo mana nkakwambia jaribu WDMI pale nao wana Laboratory lakn uta specialize kwenye maji

Hivi Lab yao ina Deal na maji wale jamaa ?

Mi kuna Bro wangu alipiga semister moja ST JOSEPH !
Wale wahindi wakatoa taarifa Bodi ya Mkopo kwamba jamaa hajafika Chuo kabisa hata semister moja!

Basi bodi fasta waka simamisha mkopo ! Daa ina pain kinoma ! Yani ikabidi aache

sahizi yupo WDMI pale
 
Hivi
Lab yao ina Deal na maji wale

yap i think ndo wanakuja kufanya kazi za ku pima purity ya maji na ndo
wanaochanganya zle chemical nyengine za kusafisha maji(mambo ya
chlorination) kabla water sanitation&supply engineer hajaanza kaz yake.
 
Nashukuru sana,ngoja nianze kucheki ni kiona siwaelewi nitakujulisha haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…