Acha ku panic mkuu ! Nani atakuwa online muda wote !
Btw !
Biomedical equipments inapatikana DIT pekeee !
!
THanks jembe, me cjapanic wala nn! snipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ku panic mkuu ! Nani atakuwa online muda wote !
Btw !
Biomedical equipments inapatikana DIT pekeee !
!
KWa tokeo hili naweza pata
nafac kweli? phy-E,chem-D,bio-D,geog-D,engl-D,civ-D,kisw-D,hist-E,math-F
napenda kusomea LAB na zile selform nilichagua TECHNICAL EDUCATION
chaguo la kwanza vp hapo nipen info wakuu
Hongereni one steps ahead
KWa tokeo hili naweza pata nafac kweli? phy-E,chem-D,bio-D,geog-D,engl-D,civ-D,kisw-D,hist-E,math-F napenda kusomea LAB na zile selform nilichagua TECHNICAL EDUCATION chaguo la kwanza vp hapo nipen info wakuu
Itabidi upige Pre entry !
Mana huja kidhi vigezo vyakuingia direct !
Utasoma miezi mitatu kwanza ! Utapiga pepa ! Uki pass ! Ndipo unaingia sasa ! Moja kwa moja ! Nadhani ni certificate kama sijakosea !
jaman wa2 wa biomedical tupotupo kumbe humu,mm nawajua snipa,mimi na wewe Eunice 2 vp wapo wngne zaid
Itabidi upige Pre entry !
Mana huja kidhi vigezo vyakuingia direct !
Utasoma miezi mitatu kwanza ! Utapiga pepa ! Uki pass ! Ndipo unaingia
sasa ! Moja kwa moja ! Nadhani ni certificate kama sijakosea !
jaman wa2 wa biomedical tupotupo kumbe humu,mm nawajua snipa,mimi na wewe Eunice 2 vp wapo wngne zaid
ungejaribu ku apply chuo cha maji ubungo(WDMI)kuchaguliwa kutoka shule direct ni impossible
![]()
Jamani hapa tulipofikia si kazi ndogo !
Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kufika mpaka leo hii !
Tukijuliana hali sio mbaya !
Wasalaam !
kwa hyo F ya hesabu ata pre-entry sidhani
Nashukuru kwa kunifumbua,sasa je ni chuo gani? ambapo natakiwa nikafanye hiyo pre-entry? na lini? msaada mkuu
Kwa hiyo naweza ku apply chuo gan sasa!
Namshukuru mungu
nimepata division II-18,Japo nilisoma shule ya kata bonde ziwa rukwa,
Napenda kusoma pugu boyz EGM.
Namshukuru mungu nimepata division II-18, ++++ ++++++ ++ ++ ++++ (text deleted by snipa) bonde ziwa rukwa, Napenda kusoma pugu boyz EGM.
Ndo mana nkakwambia jaribu WDMI pale nao wana Laboratory lakn uta specialize kwenye maji
Hivi
Lab yao ina Deal na maji wale
kama unataka kwenda DIT Ingia website ya DIT kaangalie form nadhani walitoa mda mrefu ! Sidhani kama hujachelewa !
Ila vyuo ni vingi sio DIT pekee
kuna Mbeya, Arusha, na Dar hapo vipo viwili !
Kaangalie ukishindwa kuelewa ni PM nikusaidie !
Websites hizi apa chini
DIT ==> DIT Home
MUST (mbeya) ===> Mbeya University of Science and Technology | home page
ATC (arusha) ====> ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference
Nashukuru sana,ngoja nianze kucheki ni kiona siwaelewi nitakujulisha haraka sana