Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

Nime angalia ATC requirements zao kwa acces corse (pre-entry) D katika Phys,math,chem,bio,engl or other technical subjects kwa hiyo hapo inakuaje kwa hizo maks zangu phy-E,chem-D,bio-D,eng-D,geog-D,math-F Vp nijaribu kufanya maombi? labda wanaweza wakanifikiria? au? msaada tafadhal SNIPA
 
Haitawezekana Bro !
Mana huwa wanafuata ! Sheria !
 
Kijana huwezi pata nafasi technical college yoyote kwa f ya math mwaka jana kuna mtu alikuwa na 4 point 26 alikuwa na bios c chem c phy d na math f masomo mengine yote alikuwa na d aliomba laboratory dit pre entry lakini hawakumchagua
 
Nashukuru kwa taarifa hiyo
 
Wale wanaotaka ku apply DIT hujachelewa tarehe ya mwisho n 20 june.Kuna additional ya coure mpya kama food science,film&multimedia&communication systems technology.
 
Wale wanaotaka ku apply DIT hujachelewa tarehe ya mwisho n 20 june.Kuna additional ya coure mpya kama food science,film&multimedia&communication systems technology.

Hii multimedia hii naipenda sana ! Japokuwa sitaki iwe kama proffesional yangu ! Rasmi
!
 
Hongereni madogo.. kazeni msuli A-Level, kusoma ni kuelewa na kukesha ni mbwe mbwe
 
ungejaribu ku apply chuo cha maji ubungo(WDMI)kuchaguliwa kutoka shule direct ni impossible

je naweza kutuma application kwa kutumia email yao? au ni lazima niende hadi chuoni? msaada mkuu
 
Hivi inakuaje kuhusu division zenu 5,class E na F?
 
kwahiyo zimewekwa kuuishwa sura au nini?

Hizo ni Tricks za Goverment tu kuongeza Division Four ! Na kupunguza Zero

Mana mwenye Four huesabika kama kapass !
Na mwenye zero kama ka fail
 
Hizo ni Tricks za Goverment tu kuongeza Division Four ! Na kupunguza Zero

Mana mwenye Four huesabika kama kapass !
Na mwenye zero kama ka fail
funika kombe mwanaharamu apite inaitwa hiyo
 
je naweza kutuma application kwa kutumia email yao? au ni lazima niende hadi chuoni? msaada mkuu

just download application form yao ijaze vizur then warudishie chuon ukiambatanisha na paying slip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…