kama unataka kwenda DIT Ingia website ya DIT kaangalie form nadhani walitoa mda mrefu ! Sidhani kama hujachelewa !
Ila vyuo ni vingi sio DIT pekee
kuna Mbeya, Arusha, na Dar hapo vipo viwili !
Kaangalie ukishindwa kuelewa ni PM nikusaidie !
Websites hizi apa chini
DIT ==> DIT Home
MUST (mbeya) ===> Mbeya University of Science and Technology | home page
ATC (arusha) ====> ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference
Nime angalia ATC requirements zao kwa acces corse (pre-entry) D katika Phys,math,chem,bio,engl or other technical subjects kwa hiyo hapo inakuaje kwa hizo maks zangu phy-E,chem-D,bio-D,eng-D,geog-D,math-F Vp nijaribu kufanya maombi? labda wanaweza wakanifikiria? au? msaada tafadhal SNIPA