Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..

Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?

Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.

Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini kama ushindi ulitumika jitihada, naamini zimetumika fedha nyingi ili Uganda ilegeze kamba, kwa vile Uganda ilishapita katika michuano.

Uganda ni timu nzuri na experience kubwa sana, hasa katika kombe la cecafa.

Ingekuwa ni zanzibar hapo another story..

Serikali ya ccm imezoea vya kunyonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..

Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?

Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.

Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Rc makonda. Chachu yako ni ushindi usiopingika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitegemea stars ishinde alafu tusiumbuke? Unajielewa kweli wewe?
 
Pongezi za dhati zimuendee JPM na Makonda kwa kufanikisha TZ kuingia AFCON
 
Kwa niaba ya Watanzania wote na kwa niaba yangu binafsi napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwa Uganda cranes Kwa kuonyesha hurumà na ujirani mwema Kwa kutambua Ku wa for 39 years tunatafuta AFCON na wao walishapenya sqsa ubaya ungewasaidia?
Asanteni sana Kwa upendo wenu ingawa huku kuna kakikundi kana sema eti ni juhudi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoamini Uganda wametumia busara kutuacha nasi tufuzu maana hata kuwafunga kwetu hakukua na madhara, genuineness ya ushindi wetu ingeonekana kama kweli Uganda wangekua wanatafuta kufuzu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..

Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?

Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.

Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena Wameumbuka Aswa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu upo kwenye damu yako.... Makonda alichofanya ni nini? Maana mpira umechezwa uwanjani...tumeona mpira ukichezwa na wachezaji wa uganda wakiwa hawana shaka kabisa.... We umemwona nani ameenda kumshukuru makonda? Muwe mnatumia akili sometime.

Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..

Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?

Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.

Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni unafiki tu,kwa hiyo kipindi mnaihusisha hiyo kamati na kufungwa mlijua Makonda atacheza?
 
Hilo jina ilikuwaje mana unaonekana mjinga sana.. eti BIGMIND, ingefungwa ungemtanguliza makonda lawama. Heshimu effort na majitoleo ya watu, we unadhani watanzania wangeenda mpirani kwa wingi ule. Hata kocha huwa hafungi goli. Ukinyamaza pengine ungeonekana BIGMIND kweli .
Wewe ni bwege kweli Makonda ndiye kafunga magori ama..?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyo Bashite alifanya Nini mpaka timu ikashinda? Bashite ataendelea kuwa Bashite tu
 
Back
Top Bottom