Just like the way we have failed to uphold the independence of three government pillars fools are mixing politics and sports at the detriment of our national prosperity. Kilangila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just like the way we have failed to uphold the independence of three government pillars fools are mixing politics and sports at the detriment of our national prosperity. Kilangila.
Siamini kama ushindi ulitumika jitihada, naamini zimetumika fedha nyingi ili Uganda ilegeze kamba, kwa vile Uganda ilishapita katika michuano.Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..
Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?
Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.
Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeh, mimi na wewe same [emoji405]Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Hongera Rc makonda. Chachu yako ni ushindi usiopingikaTff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..
Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?
Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.
Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umenuna na kuvuta kamdomo kama siku Sefu alipojiunga ACTHivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Wewe tunaomba vielezo vyako vya uraiaHivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Nice observation.. Uganda walikua wanacheza kukamilisha ratiba...walikua tayari wamequalifyHivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Tena Wameumbuka AswaTff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..
Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?
Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.
Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..
Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?
Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.
Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambulula yameachiwa live live yanajisifu, lait uganda nayo ingekuwa haijafuzu bado ndio mungeisoma namba.Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Tumeshawafunga Uganda mara nyingi hapo kwa MkapaHivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Wao ndio waliocheza?Kazi waliyopewa ni kuhakikisha Taifa stars inashiriki AFCON.
Au hujasikia matokeo ? Kazi waliyopewa wameikamilisha vizuri sana na tunafuraha sana
Sent using Jamii Forums mobile app