Massanda OMtima Massanda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 1,056
- 562
Waliahidi vinywaji au bia?Bia za nusu bei ziko wapi kwanza au ndo mlitujaza ujinga??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliahidi vinywaji au bia?Bia za nusu bei ziko wapi kwanza au ndo mlitujaza ujinga??
Kumbuka uwanjani huwa kuna wachezaji 12!Kwahiyo DAB ndio alikuwa anacheza uwanjani sio! Au mnataka kutuaminisha kuwa bila yeye Taifa Stars wasingefuzu! Kweli hilo genge lenu lina vilaza wengi sana.
That was a real competitive game. Qualification yao haikuwa assured.Kama walikuwa wa kutuachia, basi wangetuachia siku tuliocheza kwao kabla ya mzunguko huu! Hivi walitufunga mangapi kwao, vile?
ina maana alicheza... wachezaji wasifiwe kwa kujitoa kupambana.....vitu vingine tujaribu kutumia akili.....jamii forum is for great thinkersTff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..
Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?
Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.
Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliposikia Makonda ni mwenyekiti wa hiyo kamati nikajua lazima tunashinda na ndio maana sikuona haja ya kwenda uwanjani.Kazi waliyopewa ni kuhakikisha Taifa stars inashiriki AFCON.
Au hujasikia matokeo ? Kazi waliyopewa wameikamilisha vizuri sana na tunafuraha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni watu wa misaada tu, hilo lipo waziUshindi wa Taifa kwa hisani ya watu wa Uganda.Hakuna cha kujivunia hapo.
Mkuu kwa akili yako ile mechi ya kwao tuliyopata sare (droo) walikuwa wamesha-qualify?Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Hili nalo nenooo...Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Ni lazima watakuwa na ugonjwa wa kisiasa, sio bure.I hate CCM g*ys....! Kwao kila kitu ni siasa ili wapate ujiko wakuonesha kuwa Wapinzani si chochote......huu kwa kweli ni WENDAZIMU.....!!
Kama ni hivyo, kwanini sifa zinaenda kwa DAB pekee na si kwa mashabiki wote?! Ukweli ni kuwa hata PM alikuwa pale lakini DAB tu anaonekana ndiye aliyeleta ushindi. Hii sio sawa hata kidogo. Huyu mtu anatukuzwa kuliko uhalisia wake.Kumbuka uwanjani huwa kuna wachezaji 12!
Waache wajichukulie points kwani hzo points hazidumu na wala haina nafasi kama historia iliyowekwa na Vijana wetu Taifa Stars hiyo itabaki milele na milele kukumbukwa sasa kwa nini niendelee kuteseka?Things were obvious. Wapumbavu wanataka kuchukulia hapo points.
Kwa hili limenifanya nichukie siasa yaani kisa mtu au kikundi kimoja mtu uchukie mafanikio ya taifa lako ? ,kuwa mfiachama ni shida tupu yaani anaweza jitikeza hata mfadhili kujenga hospitali kijijini kwenu lakini ukaombea hata mradi huo usiwepo na ufe kisa mtu atachukulia points yaani bora watu wafe kwa kukosa hudumaYaani mtu mzima na akili yake anataka eti Tanzania ishindwe kwenda Misri kushiriki AFCON kwa sababu kamati ya stars inaongozwa na Makonda!!.
Makonda asingezaliwa Tanzania isingekuwepo!!. Tanzania ni zaidi ya mtu mmoja mmoja. Unapoitakia mabaya maana yake wewe huna tofauti na mnafiki.
Na siku zote zawadi ya mnafiki huwa ni kutandikwa risasi, zamani enzi za Yesu na Mohamed mnafiki alikuwa anapigwa mawe mpaka anakufa.